DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Asante sana kwa kushukuru. Ila karma ikikujia vibaya lazima uisome namba.Asante, wanadamu tumeagizwa upendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa kushukuru. Ila karma ikikujia vibaya lazima uisome namba.Asante, wanadamu tumeagizwa upendo.
Kivipi??Asante sana kwa kushukuru. Ila karma ikikujia vibaya lazima uisome namba.
Because karma is a bitch. So if your karma is as ugly as a Bull then you in a seroius trouble.Kivipi??
Mke ni wako, tshirt moja ya yako, moja yake, moja ya ataayezaliwa na na NYINGINE YA BABA YAKE YAKE MZAZI.....wewe ni baba wa kambo wa ataayezaliwa au? Nyoosha kiswahili.Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku akijifungua uprint zingine MKE WANGU KAJIFUNGUA
Siku akiwa kwenye joto na anahitaji mtoto mwingine uprint MKE WANGU YUPO KWENYE JOTO
OkayBecause karma is a bitch. So if your karma is as ugly as a Bull then you in a seroius trouble.
Noted maamHivi si uwe unasubiri hadi uwe sober ndiyo ucomment?? Kaone kwanza!!
Watoto wa kwanza wanachanganya sanaFanya hizo ndugu Mke wangu mjamzito ,idea nzuri...feels good kuwa na mwanaume aliye this excited kwa mtoto wake ajaye
Thank youNoted maam
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo moja la baba yake mzazi[emoji23][emoji23]Nimecheka hadi machozi yametoka.
Jamaa kila nikiiona Id yako na kila unachoandika naishia kucheka tu.
HahahaHii ID yako nikiiona naishia kucheka tu.
HahaaaaaaSasa mkuu na wazazi wenu hasa mama zenu nao wapite sehemu wamevaa matshirt yameandikwa "MKE WANGU NI MJAMZITO" watu watawaelewaje??