Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Kugongewa demu wako tuu inauma kinoma sembuse mkee??
Inauma sana, hata tunapokuwa vifuani mwa wake za watu kuna wakati mawazo yanakuijia hivi na mimi wa kwangu huko anat00mbwa@ kama hivi ( shiiiiit)!! kama ulikomelea gia laini laini basi unaweka ile ngumu kbs hadi mishono yote ichanike dadaddadadeq!
 
Hahaaaaa eti hata upige maombi loh, haya bwana nimekuelewa, wacha tu akagongwe aweke ndoa yake rehani, tutampa pole akiachika, teh!
Teh mwanamke akitaka kuchepuka, jukwaa linageuka kuwa la dini ghafla, sio kwa vifungu vya mahubiri na maonyo atakayopata. Subiri mwanaume aelezee tu tatizo la mke wake, solution pekee atakayopewa ni kumtafutia mchepuko. Yani nacheka kama mazuri, kweli usiombe uchapiwe teh
 
Huo mda wakuchoshana na MTU asiyekupa attention nautoa wapi mkuu nyie hata mfanyiwe vipi huwa hamridhiki ndo kwanza kutafta visingizio kuwa eti tumebweteka, dawa ni kutafta kipoozeo chakubbeleza huko nje
Mmh mtazidi kuachika tu kumbe hamna namna
 
Hahahahahahaaaa

Sasa hata huyo utayemtia mimba si tyr anakuwa anagongwa mzee baba! Kitanda hakijawahi kuzaa haramu mzee baba
 
Mwanaume akiwa anataka hapo chini kati lazima aoneshe kujali ili apapate, subiri baada ya hapo kama hautajuta, ila we kampe tu kwani itabadilika
Mkuu mwache tu kwanza aliwe ndo akili itamkaa sawa baadae akishaachika
 
Duuh[emoji15] [emoji15] ngoja niahame uzi kwanza
 
Teh mwanamke akitaka kuchepuka, jukwaa linageuka kuwa la dini ghafla, sio kwa vifungu vya mahubiri na maonyo atakayopata. Subiri mwanaume aelezee tu tatizo la mke wake, solution pekee atakayopewa ni kumtafutia mchepuko. Yani nacheka kama mazuri, kweli usiombe uchapiwe teh
Wanamtisha tu huyo, akagongwe tu apate anachokikosa kwa mumewe
 
Wanawake bana eti ukichepuka Unahatarisha ndoa yake.... Sasa kwani huyo Mwanaume Mume wa MTU aharibu ndoa yake?
Au ndo vile Wanawake wanathamini sanaaaaa kuolewa Ku feel prestigious than wanaume?
Sababu utasikia mwanamke anasema Oooh ntaharibu/hatarisha ndoa yangu ingawa anakuwa na Mume wa MTU,Mwanamume kamwe hutamsikia akisema Ntahatarisha ndoa yangu,hata kama Hataki kufanya!
 
Hahaaaaa eti hata upige maombi loh, haya bwana nimekuelewa, wacha tu akagongwe aweke ndoa yake rehani, tutampa pole akiachika, teh!
kwani kuchepuka ndo kuvunja ndoa, mnazuga tu bana nyie, kila siku mwafumania wake zenu na hamuwaachi.
ila shida tu ya mwanamke ni kuchepuka kwa mapenzi wakati mwanaume anachepuka kwa tamaa namuonea huruma Mamy K atakavofall kwa jamaa labda akute jamaa boya boya otherwise atakabidhi moyo kwa mchepuko
 
Hahaaaaa eti hata upige maombi loh, haya bwana nimekuelewa, wacha tu akagongwe aweke ndoa yake rehani, tutampa pole akiachika, teh!

Mmh mtazidi kuachika tu kumbe hamna namna
Teh kama naona unavyoandika kwa "uchungu". Mnavyojuaga kututishia nyau na kuachika while nyie mnavitembeza tu kama upepo. Kuna watu wameingia ndoani kuangalia mikato ya chumba tu na kutoa gundu, hata akiachika walaaaaaaa
Mkuu mwache tu kwanza aliwe ndo akili itamkaa sawa baadae akishaachika
 
kwani kuchepuka ndo kuvunja ndoa, mnazuga tu bana nyie, kila siku mwafumania wake zenu na hamuwaachi.
ila shida tu ya mwanamke ni kuchepuka kwa mapenzi wakati mwanaume anachepuka kwa tamaa namuonea huruma Mamy K atakavofall kwa jamaa labda akute jamaa boya boya otherwise atakabidhi moyo kwa mchepuko
Haha gelofrend utaua watu kwa presha
 
Mimi nakushauri kabla hujaachika andika mirathi na wosia.

Pia hakikisha unalipa madeni yako yote.
 
Wanawake bana eti ukichepuka Unahatarisha ndoa yake.... Sasa kwani huyo Mwanaume Mume wa MTU aharibu ndoa yake?
Au ndo vile Wanawake wanathamini sanaaaaa kuolewa Ku feel prestigious than wanaume?
Sababu utasikia mwanamke anasema Oooh ntaharibu/hatarisha ndoa yangu ingawa anakuwa na Mume wa MTU,Mwanamume kamwe hutamsikia akisema Ntahatarisha ndoa yangu,hata kama Hataki kufanya!
Be blessed abundantly. Mfumo dume umetuharibu mnoooo, we keep on legitimizing nonsense, kila ovu ni jema tu kwa mwanaume pheeeew. Hakuna mtu atakayesema mwanaume ukichepuka unamdhalilisha mkeo, poor us
 
Teh mwanamke akitaka kuchepuka, jukwaa linageuka kuwa la dini ghafla, sio kwa vifungu vya mahubiri na maonyo atakayopata. Subiri mwanaume aelezee tu tatizo la mke wake, solution pekee atakayopewa ni kumtafutia mchepuko. Yani nacheka kama mazuri, kweli usiombe uchapiwe teh
Umeona eeeh Leo humu kila mtu kashika dini kwao ndo inauma sana
 
Wanawake bana eti ukichepuka Unahatarisha ndoa yake.... Sasa kwani huyo Mwanaume Mume wa MTU aharibu ndoa yake?
Au ndo vile Wanawake wanathamini sanaaaaa kuolewa Ku feel prestigious than wanaume?
Sababu utasikia mwanamke anasema Oooh ntaharibu/hatarisha ndoa yangu ingawa anakuwa na Mume wa MTU,Mwanamume kamwe hutamsikia akisema Ntahatarisha ndoa yangu,hata kama Hataki kufanya!
Huyu bibie anaihatarisha zaidi ndoa yake kuliko huyo mwanamme mzee baba.

hata hili halihitaji kuwaza saana.
 
Back
Top Bottom