[emoji1] [emoji1] poyeeSasa ya nini mwambie akato...mbwe
Unapaswa ujitoe ufahamu,ila itakuuma kabla na baada ya kuchepukaHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Hahha wengine leo watarudi unashangaa mtu anasonya sonya tu, kumbe comments za humu zimemuharibia kilaji teh[emoji1] [emoji1] imagine povu la u shauri la wanaume humu, yani wanawake Mungu alituumbia mioyo ya ajabu sana loh
Umeona eeeh bora tu kutafta kipoozeo tena ukute mchepuko wenyewe umemzidi mumeo kila idara chakufia nini kulia kisa MTU uliyekutana naye ukubwani, tena mi akiniudhi namtafta had rafiki yakeUnakosa hata mda wa kumuwaza hawa wanaume wanaona rahisi sana kuchepuka wao na mara nyingine hadi wanatuonyesha lakini tunapiga kimya cha kupata kisukari nini akuu vyakula vya chumvi vitamu weee
Mwisho wa huu uzi ni mauaji... Na mtakuja kujutia kuwa mlimshauri upuuzi. You better advice her in a positive way an' let her decide on her ownYani wengine unakuta mke ndo mahaba kama yote kwa mume "hubby this hubby that", huku michepuko inasonya na kucheka kimoyomoyo ikikumbuka hubby mwenyewe ligi ya mchangani, anatambaa kama nyoka. Kudhalilishana tu mfyuuuu
😛 😛 😛 umetisha mkuu em niache mieUmeona eeeh bora tu kutafta kipoozeo tena ukute mchepuko wenyewe umemzidi mumeo kila idara chakufia nini kulia kisa MTU uliyekutana naye ukubwani, tena mi akiniudhi namtafta had rafiki yake
Umenena kitu kikubwa dada, Mungu akutangulie nawe upate mume bora!Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Uzuri siogopi talaka, labda nachofia ni future ya Kids, sitaki wapate malezi ya single parent
Ndiyo maana ndoa nyingi zinasimama kwa mguu mmoja, ndoa za namna hii kutenguka ni rahisi sana, kama hazijatenguka basi zinashikamanishwa na watoto badala ya upendo.Comments zao humu majority wanawaongelea wake zao kama ni watu wenye matatizo na maudhi na ni kero sana, nabaki kujiuliza hivi wanaume wao huwa ni malaika au? Na ukweli mchungu ni kwamba ndoa nyingi zipo kwa sababu tu wanawake wameamua ziwepo. Wakiamua misunderstood, , siku si nyingi utasikia mume kadondoka ghafla. Nashangaa wanavyowatreat vibaya wake zao as if wanawake tu ndo wanazihitaji hizo ndoa na wao hawana shida nazo, kumbeee
Nyakyusa mafiga matatuTeh kila mtu ajiombee nafsi yake mwenyewe. Yani wanapohalalisha wanaume kuchepuka sijui wanataka wachepuke wenyewe kwa wenyewe mweeh ntaongea na kinyakyusa mimi
Khaaa mpendwa kwani umeona popote niliposhauri? Me naelezea situation ya maisha ilivyo, najichekea tu huku kwa raha zangu. Huyu shetani naona bado hajampitia, angepitiwa hata muda wa kuomba ushauri asingepataMwisho wa huu uzi ni mauaji... Na mtakuja kujutia kuwa mlimshauri upuuzi. You better advice her in a positive way an' let her decide on her own
Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Ni maoni ya kijinga lkn ndani yake imo hekima.Lakini mtambue kuwa mwanamke huwa anakojoa akiwa kachutama lakini mwanaume akiwa kasimama. Hata mbele ya kadamnasi lakini mwanamke hawezi
Me ninalo moja na linapika mahanjumati kama yoteeeee[emoji134] [emoji134]Nyakyusa mafiga matatu
Mkuu mbona kama unaumia sana eee kwani wew huchepuki auWewe ni malaya ulishakubuhu unatujaribu hapa.. Nenda kapeleke hiyo nyama nyekundu... Na usitegemee kuna lolote huyo kijana atakupa zaidi ya dharau na kuidhalilisha familia yako....Idiot
Anachokitafuta atakipata. Mark my wordsHataki kunipa talaka - JamiiForums
Kabla ya kurejea kwenye hoja, naomba nikukumbushe.
Bilashaka ulisha mchoka mumeo...tehteehh
Na kama sio mzoefu kweli atalia sana yani saanaUnapaswa ujitoe ufahamu,ila itakuuma kabla na baada ya kuchepuka
Ndoa nyingine zipo tu kwa sababu watu wanaishi nyumba moja wanahesabu tu miaka mweehNdiyo maana ndoa nyingi zinasimama kwa mguu mmoja, ndoa za namna hii kutenguka ni rahisi sana, kama hazijatenguka basi zinashikamanishwa na watoto badala ya upendo.
Vv