Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mme ataanza kunyimwa anamtunzia mzee baba ha ha ha haUmeona eeeh? Mpaka hapo alishaamua kuchepuka ila usidhani kwamba ndani patakuwa kawaida lazima huyu ataanza dharau kwa mumewe hapo ndipo tifu litakapoanzian,mwanamke kujizuia akichepuka ni ngumu mno
Teh unakuwa tu conquered na unasurrender[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume n mtawala wa familia.so ni rahisi mwanaume kwenda nje kutafuta empire na ku conquer ila ni kitu kingine kabisa empire ya mwanaume kuwa conquered na mtu mwingine.it means umepoteza power.Solution ni ku kill tu the whole empire
Vinajazana ujinga hapa eti kuacha mke ha ha haHaha utatusikia "wanaume wote wapo hivyo hivyo", mweeh tunataabika duniani bado na mbinguni sasa
My kaka wanaume wengi mnachapiwa tu, na mnasamehe (or mnapretend kusamehe) na maisha yanaendelea kiunafiki vizuri tu. Kuachana sio kitu rahisi sana kama tunavyoongea hapa, wewe ukimdaka wifi utamuacha? Kama hujaanza kuwaza future ya wanao ukaamua tu kumdunda yakaisha teh. Mkiwa humu mnavimbaaaaaaaa
Siga mwanawasu, ja ji siku yego!??
Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
[emoji13] [emoji13] [emoji13]. Kujipa moyo ni muhimuVinajazana ujinga hapa eti kuacha mke ha ha ha
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Ha haaa wenye roho nyepesi husamehe,wenye ngumu huua wenye akili hupiga chini mke.Teh unakuwa tu conquered na unasurrender
Ni bora kumuacha,,, maana yajayo hufurahisha ...Vinajazana ujinga hapa eti kuacha mke ha ha ha
Sure, ndoa ziwe za mkatabaHa haaa wenye roho nyepesi husamehe,wenye ngumu huua wenye akili hupiga chini mke.
Lakin tukirudi kwenye basic nadhan kuna haja ndoa zetu ziwe za mkataba ili tuwe tuna update kila baada ya muda flani.
Siku zote ligi kwenye ndoa lazma kuna upande uumie tu.
Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
mnajazana ujinga hamna loloteNi bora kumuacha,,, maana yajayo hufurahisha ...
Shukuru mungu ukiachwa kwani hao wanaotenganishwa vichwa siyo wake za watu???jipeni moyo mtashinda
Japo hujafwata kanuni za uandishi hasa kuweka AYA, ila nimesoma kwa shida mpaka nimemailiza!! ujumbe na ushauri wako ni mzuri!!Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Ukichepuka tuu siku hiyo hiyo unadakwaHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
nina ndoa mkuu bado cheti tuKumbe Amu bado hujaolewa,Ila umetoa ushauri kama Mtu aliye katika ndoa