Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume n mtawala wa familia.so ni rahisi mwanaume kwenda nje kutafuta empire na ku conquer ila ni kitu kingine kabisa empire ya mwanaume kuwa conquered na mtu mwingine.it means umepoteza power.Solution ni ku kill tu the whole empire
Teh unakuwa tu conquered na unasurrender
 
kwahio unataka uchume dhambi na kuwagawia wengine ? "Accessory before the fact"
 
Wewe evelyn salt ushaanza kunitia majaribuni...

Hizo kauli zako natamani kuchepuka....
 
Haha utatusikia "wanaume wote wapo hivyo hivyo", mweeh tunataabika duniani bado na mbinguni sasa

My kaka wanaume wengi mnachapiwa tu, na mnasamehe (or mnapretend kusamehe) na maisha yanaendelea kiunafiki vizuri tu. Kuachana sio kitu rahisi sana kama tunavyoongea hapa, wewe ukimdaka wifi utamuacha? Kama hujaanza kuwaza future ya wanao ukaamua tu kumdunda yakaisha teh. Mkiwa humu mnavimbaaaaaaaa
Vinajazana ujinga hapa eti kuacha mke ha ha ha
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri

Chepeka tu dear , ila tafuta mtu wa mbali achana na huyo wa mtaani kwako ..... wa mtaani lazima tu mtafumaniwa na ni aibu kubwa pia hata mwenzio ataona fedheha kuwa makini saana tafuta mtu wa mbali.
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi

Kumbe Amu bado hujaolewa,Ila umetoa ushauri kama Mtu aliye katika ndoa
 
Teh unakuwa tu conquered na unasurrender
Ha haaa wenye roho nyepesi husamehe,wenye ngumu huua wenye akili hupiga chini mke.
Lakin tukirudi kwenye basic nadhan kuna haja ndoa zetu ziwe za mkataba ili tuwe tuna update kila baada ya muda flani.
Siku zote ligi kwenye ndoa lazma kuna upande uumie tu.
 
jiandae na KY maana labda hiyo huduma ya tgo ndo huipati kutoka kwa mumeo.. uzoefu unsonyesha wanawake wengi wanaochepuka huwa wanatafuta kupigwa tigo baaasi
 
Vinajazana ujinga hapa eti kuacha mke ha ha ha
Ni bora kumuacha,,, maana yajayo hufurahisha ...
Shukuru mungu ukiachwa kwani hao wanaotenganishwa vichwa siyo wake za watu???jipeni moyo mtashinda
 
Ha haaa wenye roho nyepesi husamehe,wenye ngumu huua wenye akili hupiga chini mke.
Lakin tukirudi kwenye basic nadhan kuna haja ndoa zetu ziwe za mkataba ili tuwe tuna update kila baada ya muda flani.
Siku zote ligi kwenye ndoa lazma kuna upande uumie tu.
Sure, ndoa ziwe za mkataba
 
nenda mbali na maziingira ya nyumbani na hakikisha usimpende mtambue kama mme wa mtu, maana utaanza ku mdharau mmeo bure
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Japo hujafwata kanuni za uandishi hasa kuweka AYA, ila nimesoma kwa shida mpaka nimemailiza!! ujumbe na ushauri wako ni mzuri!!

Ili kurahisishia wengine edit ujumbe wako, weka aya na uupange vizuri ili usomeke kwa urahisi!!
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Ukichepuka tuu siku hiyo hiyo unadakwa
 
Back
Top Bottom