Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Muache mmeo na yeye amuache mkeo,waoane mliowaacha na nyie muoane.
 
Japo hujafwata kanuni za uandishi hasa kuweka AYA, ila nimesoma kwa shida mpaka nimemailiza!! ujumbe na ushauri wako ni mzuri!!

Ili kurahisishia wengine edit ujumbe wako, weka aya na uupange vizuri ili usomeke kwa urahisi!!
nisamehe tu na muandiko wangu kama bata,nitafanya hivyo
 
Ninyi ni viumbe wa AJABU sana hamjawahi RIDHIKA.
Ww nenda nimeshafahamu.
 
Wewe chepuka tu ili moyo wako uridhike lakini kumbuka kuwa sio sawa unachotaka kufanya
 
Umeeleweka barabara
 
Wewe ni miongoni wa MASHOSTI aliowaita......mwenye sikio na asikie neno lako!
 
Nimependa hiyo lifetime insult. Ni kweli kabisa...Mke wangu alikuwa nachepuka nilijua nilikaa kmya nikatafuta ushahidi nakaa kimya...kinachoendelea anajidhalilisha hata kma na mimi ananidhalilisha lakini anajidhalilisha zaidi...
 
Mi naomba nisijibu hilo swali sista, teh!!
 
Nimependa hiyo lifetime insult. Ni kweli kabisa...Mke wangu alikuwa nachepuka nilijua nilikaa kmya nikatafuta ushahidi nakaa kimya...kinachoendelea anajidhalilisha hata kma na mimi ananidhalilisha lakini anajidhalilisha zaidi...
Ahhaa hivi wewe ndo ulimuacha mkeo afu huko alipo anashine hadi wewe unapata tabu sana, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…