Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Unatakaje wote tuwaze sawa na unachowaza wewe, we waza positive mi nawaza negative Mamy K kavunje mifupa mwaya kufa kupo tu hata ukiwa bikra utakufa
 
Kama liko hivo lisaliti hilo hakuna shida!

Yaan nje lijichetue na malayazz afuu ndani lilete ukauzu?

Lipige bao la kisigino..nakazia
 
Beauty sex?[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...JF bana
 
Thubutuu ili tugawane moto?
Kumshauri sio lazima umwambie akalale na huyo kijana wa mtaani big No,

Unaweza ukamshauri vile unavyoona inafaa ili aweze kuondokana na hilo balaa!!

Yeye kama yeye ameona atoke na kijana wa mtaani kabla hajachukuwa maamzi amekuja kwenu kuomba ushauri kitu ambacho sio dhambi kuomba ushauri

Wewe unakinzana na mawazo yake inabidi umshauri vyema ili aone maamzi yake anayotaka kuchukua sio sahihi hata kidogo!
 
Nothing, I mean nothing, naona ni tabia tu...na kuna mchepuko umemkamata huko nje.
Hapo sex per week ni story nyingine shost
Wanaume wote wana michepuko nje....na imewakamata kwelikweli....usije jihangaisha na mwanaume hata siku moja!

Wee liwa sema kwa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…