Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Natomba lakini siwezi mshauri mtu akatombe... Wewe mwache ajishauri mwenyewe yatakayomkuta yawe juu yake... Akiuawa utakuja hapa kusema siyo huyu alituomba ushauri hapa jf... Acheni undezi msiojielewa... By the way msijionyeshe kuwa nyie ni wanawake ambao mmekubuhu. Ni bora mkamshauri positive way halafu yeye mwenyewe aende akatombwe kwa maamuzi yake mwenyewe
Unatakaje wote tuwaze sawa na unachowaza wewe, we waza positive mi nawaza negative Mamy K kavunje mifupa mwaya kufa kupo tu hata ukiwa bikra utakufa
 
Kama liko hivo lisaliti hilo hakuna shida!

Yaan nje lijichetue na malayazz afuu ndani lilete ukauzu?

Lipige bao la kisigino..nakazia
 
Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
Beauty sex?[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...JF bana
 
Thubutuu ili tugawane moto?
Kumshauri sio lazima umwambie akalale na huyo kijana wa mtaani big No,

Unaweza ukamshauri vile unavyoona inafaa ili aweze kuondokana na hilo balaa!!

Yeye kama yeye ameona atoke na kijana wa mtaani kabla hajachukuwa maamzi amekuja kwenu kuomba ushauri kitu ambacho sio dhambi kuomba ushauri

Wewe unakinzana na mawazo yake inabidi umshauri vyema ili aone maamzi yake anayotaka kuchukua sio sahihi hata kidogo!
 
Nothing, I mean nothing, naona ni tabia tu...na kuna mchepuko umemkamata huko nje.
Hapo sex per week ni story nyingine shost
Wanaume wote wana michepuko nje....na imewakamata kwelikweli....usije jihangaisha na mwanaume hata siku moja!

Wee liwa sema kwa siri
 
Back
Top Bottom