Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Hahahahaaa... kama sio beauty kaka wa watu aappreciate nini sasa
teh.. kwa hiyo wazuri ndiyo wanatakiwa wasifiwe tu?

hapana bhana.. hadi anamwoa aliona cha pekee kwake anatakiwa awe anamsifia sifia hata kidogo... hata mapishi basi kama kasura hakalipi
 
Ukifumaniwa wewe utaachika ila huyo jamaa hatanuacha mkewe kwa ajili yako.
Ni hayo tu. You will be alone na kuwa chakula ya viben 10
 
Ngoja nizeeke zeeke kwanza ndio nitaoa maana kwa huu ujana naweza nikajikuta nimeua mtu naozea segerea
 
Andaa mazingira mazuri ya kujifanya unasafr na yy hivyo hivyo mkutane huko mfanye yenuu mpaka basi au Kama unafanya Kazi na Jumamosi huend kazini mwambie mumeo baba kesho nitakwenda kazini kumalizia kiporo changu flan hv basi unajiondokea zako mnakutana huko mnadinyana wenyewe mpaka basi ukirudi nyumbani Mwepesi.
 
Tamaa zako kweli unamsingizia shetani??
Kuna mambo mawili au matatu kuhusu hyo kijana wa mtaani kwenu,
Moja anamzidi mumeo kipato
Au anamzid kimuonekano
Ss ukaona isiwe tabu wacha ujiingize,haya nenda kwa kijana wa mtaani maana mmeelewana
Hahaaaa...nimecheka maaana wanaelewana
 
Wanaume wa JF wote watakatifu, sikutegemea kama ningewatoa watu povu lote hili.
Sikujua kama wanaume wanaijua "laana" ya kuchepuka kama nilivyosoma humu. Ila kumbe laana itampata huyu mke tu, huyo mume wa mtu anayechepuka naye + all waume za watu ambao ni michepuko wenyewe laana hawatoipata. Wao wakichepuka wanaleta baraka kwenye familia zao teh teh teh [emoji134] [emoji134] [emoji134]
ha ha ha ukitaka kujua wanaume na Wanawake wa Jf wameokoka we sema unachepuka utamshuhudia malaika akishuka pande hii
CC Heaven Sent
 
Weeee nae unahangaika na mtu ameshaomba mpaka talaka!
Muache aende anatafuta justification ya kuachana
 

Yani sijategemea, wanadhani wanavyoshauriana kuwala housegirls na kuwa na michepuko humu sisi wanawake hatuna nyoyo wala hatuumii
 

wee chepuka tuu wala hamna shida cha msingi uhakikishe jamaa kweli anaweza kugegeda sio wachepuka alafu jamaa ngoma ikamshinda
 

sasa kwani watu wakichepuka wanafuata upendo au wanafuta kugegedana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…