Malaya sababu alichepuka hiyo mara moja uliyojua au ilikua tabia yake?
Wewe ujue anawasiliana na mtu makini hivyo hayo yalikuwa maamzi sahihi basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaya sababu alichepuka hiyo mara moja uliyojua au ilikua tabia yake?
Sawa mkuu.Wewe ujue anawasiliana na mtu makini hivyo hayo yalikuwa maamzi sahihi basi.
Asante kwa kuelewaSawa mkuu.
Umeadimikamweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
Ha ha ha yaani huwa sitaki mtu anishirikishe dhambi, hata mashost wakija kuomba ushauri nawaambiaga kila mtu abebe msalaba wake!!Naona unajiengua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Afu mbona sikuoni kwenye ule Uzi mtamu mtamu shost?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Asilimia kubwa ya wake za watu waliowahi kujilengesha, walinitunuku matundu yote. Ila kwakuwa mara zote nilikuwa maji, sikumbuki kama lile tundu dogo nilikuwanaombaga, nalazimisha, ilikuwainatokea tuu au wenyewe walinizawadia. Pia sikumbuki kama nilipiga au laa zaidi ya wao kuishia kuniambia wee mchafu sana huku wakipita mbali na mi na mazoea yakawa yanaishia hapo na baadhi kujileta tena. Sikuhizi nimejitambua na kurudi kundini.
Hivyo mleta mada mwachie tuu jamaa apige mara moja ili nafsi yake itulie na ukute jamaa ni mchafuzi kama nikivyokuwa mimi, akuchafue haswa, baada ya hapo utarudi kwa mumewe kwa upole na kukituliza kwa adabu.
NB:Kwa wanaume wakware, kitu pekee wanachowezakumfanyia mke wa mtu ni kitu ambacho mumewe hawezi kumfanyia. I hope umenisoma.
Akitoka nje ya ndoa,,, kifo kipo mkononi mwake nikijua... But akiwa nje ya ndoa wala sina manenoAisee kweli mimi bwege...siwezi kufanya hiiiiiiiiiiiiii...basi wewe mwanaume wa ukweli kama mkeo hatoki nje ya ndoa hongera sana...
Dah aisee pole sanaAliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
Duuh wee afadhali uachike tu, yaan hizo kero unaona solution ni kuchepuka, teh!!Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
Tunaosoma btn the lines tushajua ukame wa dyudyu alonao huyu dada, acha tu akagongwe tehduh kumbe hapa tunapoteza muda mtu tayari ameishaamua tu, songa mbele tu wala usiogope
Dah.....na cha ajabu kabisa lawama zote atazibeba yeye....Mume wake atamlaumu....mke wa jamaa naye atamlaumu....hata jamaa aliyechepuka naye atamchukia....[emoji13]Don't my dear
Mie nilifumaniwa kwa ujinga kama huo
Umeadimika
Ahahahahahahahaaa haya bana... KULOWAAAAhiyo hali ukishamuelewa mwanaume magoti yakalegea chp ikaloa yani kuliwa hakukwepeki hata iweje, labda tu mtmbj
Mie mzima Alhamdullilahndio nimerudi sasa...wala usijali. mzima wewe
Mie mzima Alhamdullilah
Mama k:njoo chepuka na mimi achana na hao mambwiga loolNadhani ningekuwa nishachepuka wangeandamana hadi TCRA nitafutwe wanikate kichwa.
Nimeharibu weekend za watu.