Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

mweee...mie nashangaaga sana watu wanasema upendo...ishu ni mgegedo bwana. kuna mwanamke hapa duniani atakubali kuolewa na njemba ambaye hagegedi kisa upendo?
Umeadimika
 
Naona unajiengua[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Afu mbona sikuoni kwenye ule Uzi mtamu mtamu shost?
Ha ha ha yaani huwa sitaki mtu anishirikishe dhambi, hata mashost wakija kuomba ushauri nawaambiaga kila mtu abebe msalaba wake!!

Uzi upi huo tena, au wa kule chit chat?
 
Asilimia kubwa ya wake za watu waliowahi kujilengesha, walinitunuku matundu yote. Ila kwakuwa mara zote nilikuwa maji, sikumbuki kama lile tundu dogo nilikuwanaombaga, nalazimisha, ilikuwainatokea tuu au wenyewe walinizawadia. Pia sikumbuki kama nilipiga au laa zaidi ya wao kuishia kuniambia wee mchafu sana huku wakipita mbali na mi na mazoea yakawa yanaishia hapo na baadhi kujileta tena. Sikuhizi nimejitambua na kurudi kundini.
Hivyo mleta mada mwachie tuu jamaa apige mara moja ili nafsi yake itulie na ukute jamaa ni mchafuzi kama nikivyokuwa mimi, akuchafue haswa, baada ya hapo utarudi kwa mumewe kwa upole na kukituliza kwa adabu.

NB:Kwa wanaume wakware, kitu pekee wanachowezakumfanyia mke wa mtu ni kitu ambacho mumewe hawezi kumfanyia. I hope umenisoma.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama michezo wanaofanyiwa wake za watu wakichepuka ndiyo hii, ndomaana waume zao huwa wanadharauliwa sana mtaani hata na wakezao. Acha huo mchezo mkuu
 
Aisee kweli mimi bwege...siwezi kufanya hiiiiiiiiiiiiii...basi wewe mwanaume wa ukweli kama mkeo hatoki nje ya ndoa hongera sana...
Akitoka nje ya ndoa,,, kifo kipo mkononi mwake nikijua... But akiwa nje ya ndoa wala sina maneno
 
Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
Dah aisee pole sana
 
Ni kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
Duuh wee afadhali uachike tu, yaan hizo kero unaona solution ni kuchepuka, teh!!
 
Sijui nioeeee au niahirishe kabisaaa!!?
_Tafakuri fikirishi inachukua nafasi yake,kwa Uzi huu,maamuzi ya kuoa yamesogezwa mbele kupisha mental analysis!!
 
duh kumbe hapa tunapoteza muda mtu tayari ameishaamua tu, songa mbele tu wala usiogope
Tunaosoma btn the lines tushajua ukame wa dyudyu alonao huyu dada, acha tu akagongwe teh
 
Don't my dear
Mie nilifumaniwa kwa ujinga kama huo
Dah.....na cha ajabu kabisa lawama zote atazibeba yeye....Mume wake atamlaumu....mke wa jamaa naye atamlaumu....hata jamaa aliyechepuka naye atamchukia....[emoji13]
 
Nakushauri upalilie ndoa yako utulie kwako umpende mumeo kwa dhati na watoto na familia kwa ujumla

Jiweke bize na kazi
Nyege kwa huyo kaka zikija mseduce mumeo
Km hayupo shika sabuni na mabrashi sugua vyoo dada
Au toa vyombo makabatini futa/uvioshe
Au fua au piga pasi nguo za watu wote
Ikifika usiku pika afu lala mana utakua umechoka sanaaaa
 
As long as you can deal with the consequences of your actions then do it mum
 
Back
Top Bottom