Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

IMG_5069.JPG
JARIBU UONE NTACHOKUFANYA!!
 
Ilitokea tu nikamkubali mtu mtaani
Nikajifanya nunda nikamtafuta
Tukaelewana, Ile siku tunaenda kufanya yetu natoka mlangoni Mr huyu hapa

Usiulize kilifata nini!

Mgeni wamambo kumbe, Hukua makini.

Wazoefu hua hawasomeki
 
Hata ukiwa na kipozeo, kumbuka wakati mumeo anakutongoza ulimuangaisha sana hadi Mara ya kwanza mlipoamua kuvuana vyupi, na alipotaka kuoa aliwaza sana amuoe nani wewe ukabahatika kuwa chaguo. Ni zamu yako kumjali kwa sana hadi akushangae na awasahau wa huko nje, we unakaa siku nzima hata SMS ya mahaba hutumi husemi hata unavyojisia kama unanyege unamwambia mapema ili na yeye ajiandae aondoe stress za kazi mapema siyo unakaa kimya ongea ikibidi toa chozi
Madem huwa wanajisahau hapa tu. Inafika kipindi mababa yanakata. Hakuiti yale majina mazuri, hakutext mpaka uanze. Ikifika hapa basi ujue mahusiano yanaelekea kubaya
 
Kuolewa au kuhangaishana kuko kwenye mapenzi sasa wengi wanaume mkijaliwa ndo huwanyanyasa wanawake vibaya, ujue nyie ndo hufanya wanawake waanze uovu, mfano mama analea humsaidii unataka akupe attention kabla ya kuwa na mtoto. Mapenzi ni ya wawili jamani bila hivo michepuko haiepukiki
Nope hizi tabia anakuwa nazo mtu binafsi. Si wanaume tu hata wanawake.
Nao mkifanikiwa hali huanza kubadilika, tunafahamu tumeona.

Wanawake huanza uov wenyewe , wanaume si mara zote ni sababu. Tabia mbovu huwa mtu ana kuwa nazo ila zimejificha maana hajapata sehem inayompa uhuru.
 
Nope hizi tabia anakuwa nazo mtu binafsi. Si wanaume tu hata wanawake.
Nao mkifanikiwa hali huanza kubadilika, tunafahamu tumeona.

Wanawake huanza uov wenyewe , wanaume si mara zote ni sababu. Tabia mbovu huwa mtu ana kuwa nazo ila zimejificha maana hajapata sehem inayompa uhuru.
Sasa kuliko uumizwe na tabia za mtu mzima anayeamua kufanya jambo mwenyewe huko sikujipa stress tu, mi namwacha awe huru na Mimi nijipe raha mwenyewe, maana ni ngumu kumshape MTU mzima
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Pepo la ngono hilo
 
Back
Top Bottom