Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Ilitokea tu nikamkubali mtu mtaani
Nikajifanya nunda nikamtafuta
Tukaelewana, Ile siku tunaenda kufanya yetu natoka mlangoni Mr huyu hapa

Usiulize kilifata nini!

Mgeni wamambo kumbe, Hukua makini.

Wazoefu hua hawasomeki
 
Madem huwa wanajisahau hapa tu. Inafika kipindi mababa yanakata. Hakuiti yale majina mazuri, hakutext mpaka uanze. Ikifika hapa basi ujue mahusiano yanaelekea kubaya
 
Nope hizi tabia anakuwa nazo mtu binafsi. Si wanaume tu hata wanawake.
Nao mkifanikiwa hali huanza kubadilika, tunafahamu tumeona.

Wanawake huanza uov wenyewe , wanaume si mara zote ni sababu. Tabia mbovu huwa mtu ana kuwa nazo ila zimejificha maana hajapata sehem inayompa uhuru.
 
Sasa kuliko uumizwe na tabia za mtu mzima anayeamua kufanya jambo mwenyewe huko sikujipa stress tu, mi namwacha awe huru na Mimi nijipe raha mwenyewe, maana ni ngumu kumshape MTU mzima
 
Pepo la ngono hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…