Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

vp ulishachepuka?/
 
Unadhani huyo unaetaka kuzini nae yuko tofauti,kwani unayajua mambo ya ndani ya ndoa yake?!!
Na mmeo akijua ulishawahi kufikiria itakuaje?!! Nikutahadharishe siku mmeo akihisi sio kujua tu,basi hio ndoa itakua jehanam yako.
Kuna msemo unasema the far grasses are greener. tunza ulichonacho.
 
kweli we ni MAMA K* [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wanaume huwa mnatufundisha tabia mbaya sana. Uchepukaji kwa mwanamke alieolewa asilimia kubwa husababishwa na mwanaume. Kama suluhisho la mwisho kwako ni kuchepuka dada we kachepuke tu upate amani ya moyo 😉😛😉
 
Duuh pongezi kwako, hapo upo kwa mangi u agiza kwa jina langu au upo wapi
 
Reactions: Luv
Fantastic point
 
Reactions: Luv
Ilitokea tu nikamkubali mtu mtaani
Nikajifanya nunda nikamtafuta
Tukaelewana, Ile siku tunaenda kufanya yetu natoka mlangoni Mr huyu hapa

Usiulize kilifata nini!
Kilifuata nn
 
Hii tabia ya kuchepuka imeshka kasi kweli kuna jamaa yangu yuko dodoma mke amemuacha dar anafanya kazi benki...sasa kila kukicha anaomba ushauri
 
Tupe mrejesho, umeshaliwa kimasihara tukasome stori kwenye uzi pendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…