Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Nshaombewa mapepo yote yametoka nduki sahivi ni mtu safi naimba na kwaya kwakweli namshukuru Heaven Sent kwa maombi
Ni sawa.
karibu sana katika ulimwengu wang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshaombewa mapepo yote yametoka nduki sahivi ni mtu safi naimba na kwaya kwakweli namshukuru Heaven Sent kwa maombi
Haha kama nakuona unavyompokea hubby kwa mapambioNshaombewa mapepo yote yametoka nduki sahivi ni mtu safi naimba na kwaya kwakweli namshukuru Heaven Sent kwa maombi
Upi huoNi sawa.
karibu sana katika ulimwengu wang
Upi huo
Acha tu ni mapambio na step zakeHaha kama nakuona unavyompokea hubby kwa mapambio
vp ulishachepuka?/Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Unadhani huyo unaetaka kuzini nae yuko tofauti,kwani unayajua mambo ya ndani ya ndoa yake?!!Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
kweli we ni MAMA K* [emoji23][emoji23][emoji23]Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Duuh pongezi kwako, hapo upo kwa mangi u agiza kwa jina langu au upo wapiHakuna cha ajabu utakachokutana nacho Zaidi ya kujishushia heshima kwa uliyetembea nae na kwa mumeo akijua.
Kutembea nje ya ndoa kwa mwanamke naamini ni kumdhalilisha mumeo. Yule ulitembea nae hatamuheshimu mumeo hata mara moja.
Na utamfanya mumeo ajione si lolote mbele ya jamii. Tujaribu kuwapa heshima zao wanaotupa heshima ya kuwa wake zao.
Fantastic pointWanawake tukichepuka dharau kwa mume haziepukiki.
Wanaume wanatamani na wanachepuka na yeyote.
Wanawake huwa tunakuwa na watu tunaowapenda na bahati yetu mbaya hatuwezi kupenda wanaume wawili kwa pamoja.
Labda achepuke huku akijiandaa kwa lolote, ikiwemo kuachwa na huyo amayechepuka nae kumuacha abaki na mkewe.
Wanawake huwa hatujiulizi maswali ya msingi ambayo wanaume hujiuliza. Mwanaume akiona umemkubali ukiwa na mumeo basi hata ukiachwa naye anaacha anaamini atafanyiwa vile vile
Kilifuata nnIlitokea tu nikamkubali mtu mtaani
Nikajifanya nunda nikamtafuta
Tukaelewana, Ile siku tunaenda kufanya yetu natoka mlangoni Mr huyu hapa
Usiulize kilifata nini!