Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Kuna wakati useme ukweli

kwamba ww unajichetua tu na unautangazia umma wajue hilo

mwenye akili timamu,mwenye kujitambua,huwa hasemi wala kufikiria hayo

Ila uzoefu wako,ndio unakutamkisha maneno ovyo na yasiyokuwa na aibu wala uhai

Muogope Mola wako aliekuumba
 
aaaaa wanakuambia if you are in Rome act like Romans ndivo nilivo huwa naenda na flow kuna post zingine huwa hazihitaji hata maandishi mengi na kutuliza kichwa ila kuna zingine unaandika umetulia
Kwa kweli, hii comment umeonyesha ukomavu wa kiwango cha juu sana aisee, big up, kama mtoa mada alimaanisha kweli, basi umempa ushauri wa maana sana.
 
Duuh huu nao ni ushauri, wee Eve wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mito mi sitaki kuwa mnafiki hata robo, hali aliyofikia binafsi naielewa I guess akimuona jamaa pichu inaloa nakuambia hivi hata upige na maombi huyu ataliwa tu.
otherwise nijifanye tu okay mamy k don't do that ni dhambi ha ha ha ha ha nacheka kama mazuri
 
Post nyingine zinatia hasira sana na sitaowa milele
Ikiwa hutooa milele
matamanio yako,wapi yanaishia?!
kwenye
a)wanawake wa mtaani
b)chaputo

Oa ndg
ila kabla ya kuoa,jiangalie kwanza kisha jitathmini mara kwa mara

Kwasababu

utapata mke mfano wako

jaribu maneno yangu Bro

Utapata mke mfano wako

Mwema hupata mwema

na
Muovu hupata muovu mwenzake
 
Mkuu kama mambo yenyewe ndo haya si bora tuu nizaee watoto nituliee kuliko kuoa aisee
 
Nakuelewa sana ujue
 
Chepuka lakini kuwa makini maana toyo zinakimbia sana!

Hivi vibarabara vya michepuko ni hatari hasa kwa wasiojua sheria za usalama barabarani
 
Teh mwenyekiti; nakuona nakuona
Hapo ulipofikia hakuna cha kukuzuia kuchepuka hakuna!!!!!kafanywe tu ila heshima ibaki pale pale

mi kama mimi nimekazia tu kwenye huo uamuzi wake
 
Ushauri mzuri Sana. Na mwenye masikio na asikie.
 
Hahaaaaa eti hata upige maombi loh, haya bwana nimekuelewa, wacha tu akagongwe aweke ndoa yake rehani, tutampa pole akiachika, teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…