Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu sijui kama utachomoka kwenye hiyo list😀binamu.....
hapana kabisa binamu, labda ukitoa yako, uamua kunipaisha binamu yako....Binamu sijui kama utachomoka kwenye hiyo list😀
Hahaha afanye hivyo tu, hatutomuangusha kabisaNapendekeza atupe list iliyopo pm tumsaidie kuchagua mchepuko mstaarabu
cc Mamy K naamini hautatuangusha katika hili
Mungu a nakuona, na HIV sema nayo usije kupeleka nyumbaniHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Angalia tu usipewe virusi huko, kuwa makini usije ukakamatwa na mmeo,tukasikia tu kwenye vyombo vya habari Mammy k ameuawa na mumeweHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Vipi ikawaje mumeo alikusamehe?Don't my dear
Mie nilifumaniwa kwa ujinga kama huo
Aliniacha nipo nadanga tuVipi ikawaje mumeo alikusamehe?
Una bahati angekuwa mwingine angekuua kabisaAliniacha nipo nadanga tu
Aniue K ni yake!?Una bahati angekuwa mwingine angekuua kabisa
Shukuru tu huyo jamaa anajua jinsi ya kutatua tatizo hisikii wanawake wanauawa hukoAniue K ni yake!?
Wanaolewa na wavulana.Shukuru tu huyo jamaa anajua jinsi ya kutatua tatizo hisikii wanawake wanauawa huko
Endelea kujifariji na hizo slogan zako,utakuja kuuawa siku mojaWanaolewa na wavulana.
Kumbe wanawake wakuoa bado mpo?Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Mkuu huyu nliyeneye sidhani kama atazingua ila akizingua tu natangaza jimboKumbe wanawake wakuoa bado mpo?
Hahahaaaa...Nimejikuta nachekeshwa na jibu lako.!Aliniacha nipo nadanga tu