Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Usimpe ndogo tu, kazi njema
 
mama k naomba unijibu inbox huo mrejesho kama hautajali ni kwa nia njema
 
Back
Top Bottom