Nataka kufahamishwa kuhusu ligi ya NBA

Nataka kufahamishwa kuhusu ligi ya NBA

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Wakuu
Nimetokea kuvutiwa na mchezo wa basketball hasa ligi ya NBA.Hii imetokana na kushuhudia ubishi wa Stephen Curry na Lebron James ikapelekea kutafuta clips zao.
Nimevutiwa sana,ombi langu ni kuwa kuna kitu kinanichanganya kuanzia mpangilio wa ligi hadi kwenda kwenye playoffs.

Msaada kwa yeyote anayeweza kunichambulia kwa ufupi jinsi hii ligi inavyoendeshwa na bingwa anapatikana vipi
 
nba ni ligi ya kikapu.. inayohusisha timu 30 kutoka states.. na majiji tofauti usa na canada..

imegawanywa katika makundi mawili.. timu 15east na timu 15west..

huwaga inaanza kwa regular season kama ligi za mpira miguu.. ambapo season ya nba ina mechi 84.... jumla...


baada ya ligi kuisha zinaangaliwa timu 8 za east na 8 za west zilizofanya vizuri... na kuwekwa kwenye playoffs tournament kwa ajili ya kumpata bibgwa wa east na bingwa wa west... kisha hao mabingwa wanacheza fainali kumpata bingwa wa nba nzima...


nina imani umepata pichq
 
Back
Top Bottom