Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu
Nimetokea kuvutiwa na mchezo wa basketball hasa ligi ya NBA.Hii imetokana na kushuhudia ubishi wa Stephen Curry na Lebron James ikapelekea kutafuta clips zao.
Nimevutiwa sana,ombi langu ni kuwa kuna kitu kinanichanganya kuanzia mpangilio wa ligi hadi kwenda kwenye playoffs.
Msaada kwa yeyote anayeweza kunichambulia kwa ufupi jinsi hii ligi inavyoendeshwa na bingwa anapatikana vipi