Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Habari ya wakati huu!
Napenda kufahamu mambo machache juu ya uendeshaji wa shule ya chekechea (elimu ya awali).
Napenda kufahamu juu ya gharama za ujenzi wa madarasa matatu yaliyoungana pamoja na ofisi ya walimu na vyoo.
Kuna changamoto zipi wakati wa kupata kibali cha ujenzi? Je ni lazima niwe na statement ya benki milioni 60?
Usajili unachangamoto zipi?
Gharama za uendeshaji zikoje?
Faida zake kiuchumi zikoje (inalipa)?