Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Sawa mkuu...nitalizingatia hiloKiwanja cha michezo muhimu
Mi nilikua na makadirio ya milioni 25 kwa ujenzi wa madarasa na majengo yote ya shule.Samwel Ngulinzira, Ungeanza na makadirio yako ili watu wakukosowe na kushauri kuliko ulivo liweka, kwasababu shule ya awali imeambatana na ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu... nitakupatia tenda
Usifanye mambo kienyeji mkuu. Mtafute architects adesign eneo lako akupe ramani na makadirio ya ujenzi.Mi nilikua na makadirio ya milioni 25 kwa ujenzi wa madarasa na majengo yote ya shule.
Usifanye mambo kienyeji mkuu. Mtafute architects adesign eneo lako akupe ramani na makadirio ya ujenzi.Mi nilikua na makadirio ya milioni 25 kwa ujenzi wa madarasa na majengo yote ya shule.
Thanks mkuu...Tuko pamoja
Thanks mkuu...nashukuru kwa ushauri wako.Usifanye mambo kienyeji mkuu. Mtafute architects adesign eneo lako akupe ramani na makadirio ya ujenzi.
Kuhusu ujenzi hapa tutakudanganya tuu since hakuna mtu anaeweza kukupa makadirio bila kufika site.
Labda uliza hayo mambo mengine ndio utapata majibu labda
Asante sana mkuuKila la kheri
Tatizo sio majengo tatizo ni usajili wa hiyo shule kwa mjibu wa wizara husika.Mi nilikua na makadirio ya milioni 25 kwa ujenzi wa madarasa na majengo yote ya shule.
TUKO PAMOJA MKUU,bahati mbaya Sana Mimi nakuwa tofauti na wengine pindi ninapotaka kuanzisha Jambo langu, Mimi huwa naanzishaga tu bila kujiuliza maswali mengi, naanzishaga Kisha TRA watakuja, wizara itakuja, na wengine watakuja,Kisha tunakaa meza moja tunayajenga safar inaendelea, lakini ukifuata vigezo na mashart hata duka la vyombo la kawaida hutofungua.....inchi ngumu hiii
MKUU,Mi nilikua na makadirio ya milioni 25 kwa ujenzi wa madarasa na majengo yote ya shule.
Duh! Vyote vipo isipokua hiyo 60M haiwezekani nikaanza ujenzi taratibu?Tatizo sio majengo tatizo ni usajili wa hiyo shule kwa mjibu wa wizara husika.
Eneo liwe na 2accre ikiwa town ukiwa sio town accre7
Uombe kubali cha kujenga kwa kuwabatanisha yafuatayo
Hati ya kiwanja, uwezo wako 60m nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga akielimishwa anaelimika...eneo nalojenga kuna mchanga na ni flat.MKUU,
ACHA UJINGA!!!
MADARASA MATATU NA OFISI MOJA YA WALIMU MPAKA FINISHING KWA MILIONI 25, HAYO MAJENGO AMA HAYATAKAMILIKA AU HAYATAKUWA NA KIWANGO STAHIKI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app