Nataka kufahamu mambo muhimu katika Uwekezaji kwenye shule ya awali

Mkuu hiyo approach yako nakiri it was the best in the previous era! Zama hz haifai! ItakuCost more! November kuna pahali nilienda kuchukua flem ya biashara. Nikaenda TRA, tukayajenga kisha wakanambia MAKADIRIO niende January! Nikaenda Halmashauri tukamalizana leseni! January pia nikamalizana na TRA.

JIRANI na flem yng kuna jamaa ana biashara ya mambo ya vioo na aluminum, akawa anancheka ninavojihisisha na Mambo za TRA na Halmashauri!

Km wiki 2 zilizopita TRA wametimba kwa jamaa! Walichomfanya ktk hesabu walizompa! Kasema akimaliza DENI LA TRA anafunga Biashara!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu nilichojifunza wasomi tunachelewa sana kufanikiwa sababu tuna fanya analysis nyingi sana mwisho wa siku zinatukatisha tamaa.

Nilipata kukutana na dogo wa miaka 22 anamiliki shule ya private elimu yake form 4 nilijifunza kitu toka kwake.

Nakushauri we kulupuka tu ,wakija hao wajomba unakaa nao mezani mambo yanaisha hiyo ndio formula
 
mkuu umenena vyema, hizi shule zimekosa mvuta zaidi ya mtoto kujua English ya kuungaunga hakuna lingine pia inawadumaza watoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…