Nataka kufanya biashara Tunduma

Nataka kufanya biashara Tunduma

dawa za binadamu yaani pharmacy.

kwa dawa binadamu utauza tu coz magonjwa mengi pia kwa tunduma hakuna maduka makubwa ya madawa kama mbeya mjini pale kuna mwasalipa nae duka sio kubwa sana. Pia kuna sehemu inaitwa Mlowo wilaya ya mbozi ni pazuri pia coz utakuna uwanja mkubwa wa kuwa monopoly
 
Kaka Biashara hiyo kwa Tunduma sio kabisaaaaaaa! Pili kiukweli Kwenye ICT hicho kiasi ni kiduchu sana.cha kufanya anza kusuplly vifaa vya hzo kitu kama mmachinga vyuoni.unavizia bumu likitoka chuo Fulani unatinga na bidhaa zako kwa bei nzuri.mwenyewe napiga hzo dili wadau wakubwa madent.mbaya zaidi ni za msimu,boom likitoka safi wakifulia noma. zaidi ni PM. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom