Kaka Biashara hiyo kwa Tunduma sio kabisaaaaaaa! Pili kiukweli Kwenye ICT hicho kiasi ni kiduchu sana.cha kufanya anza kusuplly vifaa vya hzo kitu kama mmachinga vyuoni.unavizia bumu likitoka chuo Fulani unatinga na bidhaa zako kwa bei nzuri.mwenyewe napiga hzo dili wadau wakubwa madent.mbaya zaidi ni za msimu,boom likitoka safi wakifulia noma. zaidi ni PM. Nawasilisha.