Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

Ndugu unauhakika na hizo hesabu zak?

Soko lako?
Maana naona umeweka bei kubwa sana

Lita moja ya asali Dar ni 12000
Na hiyo ndo bei hadi sasa hivi. Nimenunua asali mwezi Februari 2024 kwa bei hiyo ya Tsh. 12,000 kwa lita.
 
Asali kama kipindi cha msimu bei inapungua hadi 60k au 55k kwa dumu la lita 20 kwa nyuki wakubwa. Mauzo yake mara nyingi huwa 12,000 kwa lita ndani ya jiji la Dar
Msimu ni miezi ipi, na ni wapi wanakouza kwa bei hizo za Tshs. 55k hadi 60k kwa lita 20?
 
Back
Top Bottom