D DadiMkaliWao JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 242 Reaction score 380 Feb 22, 2024 #21 Jane Msowoya said: Ndugu unauhakika na hizo hesabu zak? Soko lako? Maana naona umeweka bei kubwa sana Lita moja ya asali Dar ni 12000 Click to expand... Na hiyo ndo bei hadi sasa hivi. Nimenunua asali mwezi Februari 2024 kwa bei hiyo ya Tsh. 12,000 kwa lita.
Jane Msowoya said: Ndugu unauhakika na hizo hesabu zak? Soko lako? Maana naona umeweka bei kubwa sana Lita moja ya asali Dar ni 12000 Click to expand... Na hiyo ndo bei hadi sasa hivi. Nimenunua asali mwezi Februari 2024 kwa bei hiyo ya Tsh. 12,000 kwa lita.
D DadiMkaliWao JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 242 Reaction score 380 Feb 22, 2024 #22 jumaa_karne said: Asali kama kipindi cha msimu bei inapungua hadi 60k au 55k kwa dumu la lita 20 kwa nyuki wakubwa. Mauzo yake mara nyingi huwa 12,000 kwa lita ndani ya jiji la Dar Click to expand... Msimu ni miezi ipi, na ni wapi wanakouza kwa bei hizo za Tshs. 55k hadi 60k kwa lita 20?
jumaa_karne said: Asali kama kipindi cha msimu bei inapungua hadi 60k au 55k kwa dumu la lita 20 kwa nyuki wakubwa. Mauzo yake mara nyingi huwa 12,000 kwa lita ndani ya jiji la Dar Click to expand... Msimu ni miezi ipi, na ni wapi wanakouza kwa bei hizo za Tshs. 55k hadi 60k kwa lita 20?
Bagabeach JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 1,124 Reaction score 2,369 Feb 23, 2024 #23 DadiMkaliWao said: Msimu ni miezi ipi, na ni wapi wanakouza kwa bei hizo za Tshs. 55k hadi 60k kwa lita 20? Click to expand... Niko mbezi mwisho nauza kwa jumla lita 20 Tshs 150,000 0696101514 Lita 10,000
DadiMkaliWao said: Msimu ni miezi ipi, na ni wapi wanakouza kwa bei hizo za Tshs. 55k hadi 60k kwa lita 20? Click to expand... Niko mbezi mwisho nauza kwa jumla lita 20 Tshs 150,000 0696101514 Lita 10,000
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jan 6, 2025 #24 Bei ya sasa ipoje