maua ya plastic aende kariakooo bhana kule mtaa wa El shadai maduka ya wachina yapo tele wanauza hayo maua na veses zake kwa bei rafiki
kule kuna maua hadi ya 3k ambayo decors wa sinza wanauza 10k -15k
kikubwa ye afanye reseach kwanza
namanga ya sasa si kama ya zamani atakutana na wapigaji wampige asiamini ๐๐๐
naongea nikiwa namanga