Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

maua ya plastic aende kariakooo bhana kule mtaa wa El shadai maduka ya wachina yapo tele wanauza hayo maua na veses zake kwa bei rafiki

kule kuna maua hadi ya 3k ambayo decors wa sinza wanauza 10k -15k
kikubwa ye afanye reseach kwanza

namanga ya sasa si kama ya zamani atakutana na wapigaji wampige asiamini 😂😂😂

naongea nikiwa namanga
mkuu hapo umenena sio wengine kaz kutukana
 
Kila la kheri,japo sipendi kabisa artificial flowers napenda kuangalia maua yangu yanavyo kua stage kwa stage
 
Back
Top Bottom