chidy said
Member
- Oct 20, 2019
- 66
- 124
Nataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Haaaaaahaaaaa Ushimeni fala sana maana hakuna picha wala maelezo ili tujue imefikia hatua gani nae angependa finishing ya kiwango gani sababu vipato tunatofautiana sasa ndg yko huyu inaonekana alikuwa na mzuka sana ndio leo nyumba imemaliziwa kupigwa bati so kawahi kuja kupost hp!Dahhh..
Kuna threads zingine huwa zinahitaji uwezo wa Mungu akuongoze ili uweze kuchangia wallah...
Nataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Dahhh..
Kuna threads zingine huwa zinahitaji uwezo wa Mungu akuongoze ili uweze kuchangia wallah...
Haaaaaahaaaaa Ushimeni fala sana maana hakuna picha wala maelezo ili tujue imefikia hatua gani nae angependa finishing ya kiwango gani sababu vipato tunatofautiana sasa ndg yko huyu inaonekana alikuwa na mzuka sana ndio leo nyumba imemaliziwa kupigwa bati so kawahi kuja kupost hp!
Yaani kabisaa umeandika uzi umeishia hapo?
Haya.
Ndoo mbili za rangi = 200k
Gypsum plaster mifuko 2 = 34k
Tiles boks 3 = 52k
Cement mifuko 3 = 45k
Maji ndoo 10 = 2k
Gypsum board 4 = 68k
JUMLA = 401,000/= TSH,
Nahisi tayari, mods fungeni uzi.
daaah hiii thred matata saanaNataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Shida hiyo nyumba haijulikani ni ya ukubwa gani,nyumba ya vyumba viwili haiwezi kuwa sawa na finishing ya vyumba sita.Huwezi jua anamaanisha nini kwa kusema “finishing ya nyumba”...
FanyaNataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Tandaza ka picha ama ramani tukusaidie dogo.Nataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Nyumba ni kubwa kiasi gani?Nataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
Mmh ni nyumba sio chumbaYaani kabisaa umeandika uzi umeishia hapo?
Haya.
Ndoo mbili za rangi = 200k
Gypsum plaster mifuko 2 = 34k
Tiles boks 3 = 52k
Cement mifuko 3 = 45k
Maji ndoo 10 = 2k
Gypsum board 4 = 68k
JUMLA = 401,000/= TSH,
Nahisi tayari, mods fungeni uzi.
Hata chumba haitoshi,Mmh ni nyumba sio chumba
Jr[emoji769]
Yaani kabisaa umeandika uzi umeishia hapo?
Haya.
Ndoo mbili za rangi = 200k
Gypsum plaster mifuko 2 = 34k
Tiles boks 3 = 52k
Cement mifuko 3 = 45k
Maji ndoo 10 = 2k
Gypsum board 4 = 68k
JUMLA = 401,000/= TSH,
Nahisi tayari, mods fungeni uzi.
Ah..akimaanishe nini huyu? Upuuzi tu tunaleteana hapa yeye anadhani sote tunaijua hiyo nyumbaHuwezi jua anamaanisha nini kwa kusema “finishing ya nyumba”...
Haaaaaahaaaaa watu vichwa vinawauma humu ukija na uzi wako wa kihunihuni kuna wahuni zaidi yako!Hhhaaha nimecheka hapo tiles box 3🤣🤣🤣🤸
30M kama ina vyumba vinne vya kulala, dinning na jiko na sebule including mirango na mfumo wa majiNataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi