Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
OkHata chumba haitoshi,
Sasa mzee hajasema nyumba ina vyumba/ukubwa gani tutamsaidiaje?
Jr[emoji769]
OkHata chumba haitoshi,
Sasa mzee hajasema nyumba ina vyumba/ukubwa gani tutamsaidiaje?
Inasikitisha...basi angeweka.picha walau..tupate pa kuanziaDahhh..
Kuna threads zingine huwa zinahitaji uwezo wa Mungu akuongoze ili uweze kuchangia wallah...
Imeisha hyoYaani kabisaa umeandika uzi umeishia hapo?
Haya.
Ndoo mbili za rangi = 200k
Gypsum plaster mifuko 2 = 34k
Tiles boks 3 = 52k
Cement mifuko 3 = 45k
Maji ndoo 10 = 2k
Gypsum board 4 = 68k
JUMLA = 401,000/= TSH,
Nahisi tayari, mods fungeni uzi.
Huwezi jua anamaanisha nini kwa kusema “finishing ya nyumba”...
Laki mojaNataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
😅😅😅 Nimecheka kwa sauti. Bahati nzuri niko peke yangu, hivyo hakuna mtu wa kugeuka na kunishangaa.Dahhh..
Kuna threads zingine huwa zinahitaji uwezo wa Mungu akuongoze ili uweze kuchangia wallah...
Usafiri?Yaani kabisaa umeandika uzi umeishia hapo?
Haya.
Ndoo mbili za rangi = 200k
Gypsum plaster mifuko 2 = 34k
Tiles boks 3 = 52k
Cement mifuko 3 = 45k
Maji ndoo 10 = 2k
Gypsum board 4 = 68k
JUMLA = 401,000/= TSH,
Nahisi tayari, mods fungeni uzi.
Mkuu kwahio kabisaaa umeuchukulia hii comment serious?Usafiri?
Au utamsaidia wewe kubeba vitu?
Unataka mume sioInabidi uwe na shs elfu 3 hivi