BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
- Thread starter
- #41
Nimekupata ndugu yangu...na hilo ni wazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana siku moja nitakuja huko niicheki maana mimi pia mfugaji mwenzioHABARI NDUGU ZANGU,LEO NIEANZA ZOEZI LA KUPANDISHA MIZINGA YANGU.
Naomba unisaidie mawasiliano ya fundi wako aliekuchongea mizingaaNimeanza kuchonga mizinga na itapandishwa mwezi huu.Kwa sasa takuwa nayo kama 200 yenye vihunzi 140.na ya kawaida 60
Sikulijua hili mkuu,Hongera Mkuu jitaidi usiweke mizinga kwenye Mti ambao chini Kuna kichuguu Cha Mchwa maana Nyuki akai sehemu ambapo Mchwa wapo
Ndugu habari?Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa.
Niefikiria kuweka mizinga 200 ya kisasa ambayo kwa wastani nipate madumu ya lita 20 kama 150 kila ninapovuna.
Mizinga nitaiweka kwenye banda na nitaweka mtu wa kuishi huko shamba ili awe anaikagua na asali yangu nitauza Dar es Salaam au soko la nje kwa wastani wa TZS 200,000.
Mizinga nitaichona kwa elfu 20m kila mmoja kwa kuwa mbao zinapatikana kwa urahisi na fundi wangu hana bei kubwa.
Mizinga nitaiweka mwezi Desemba 2023 na mvuno wa kwanza utakuwa around June 2024. Soko la asali na nta halijawahi kuwa baya kama utazalisha Quality product.
Wapi huko?Bei haizidi laki tatu kwa acre moja. Huko porini hata kwa laki na nusu unapata
Tanzania ni kubwa Mzee ulizia Tu mavijiji ya ndani ndaniWapi huko?
Mizinga 20 nyuki wameingia, mizinga 180 buibui wameingia, Mungu tupe subraLeo wameenda kukagua mizinga...tumekuta mizinga 20 tu ndio imeingia.Wameikagua hakuna shida tunahisi labda kalenda yao imetupita
Vipi nyoka wapo wa kutosha?Bei haizidi laki tatu kwa acre moja. Huko porini hata kwa laki na nusu unapata
Nipe kazi ya kukuzalishia Makundi ya nyuki kwa mizinga yako hiyo yote 180- nnahitaji miezi 2 yote itajaa nyukiMizinga 20 nyuki wameingia, mizinga 180 buibui wameingia, Mungu tupe subra
Nipe kazi ya kukuzalishia Makundi ya nyuki kwa mizinga yako hiyo yote 180- nnahitaji miezi 2 yote itajaa nyuki
Nyuki wakiwa wengi kutokana na kuwepo wingi wa Chakula chao utengeneza kundi jingine na kutafuta sehemu ingine na kuanza kundi jipya! Inaonekana maeneo jirani na ulipoweka mizinga kulikuwa na hayo 20 makundi ... Nyuki uwa na Scouts wanaotafuta maeneo bora ya kukaa so wakaona hiyo 20 mizinga na kuamia. Wakati wa kiangazi ni Nadra makundi kuongezeka na pia upatikanaji wa Chakula chao pia kunaweza Changia Nyuki kutozalisha makundi mapya.... hapo Technology hutumika na kuzalisha idadi yoyote ile ya Makundi ya Nyuki( kwa kuanza kwanza kuzalisha Malkia wao) ulaya na Kwengineko Kuna makampuni kazi yao ni kuzalisha Makundi ya nyuki na kuuza. Karibu tuongee tuje tukuzalsihie makundi ya Nyuki idadi utakayo! BEI MAELEWANO😁Leo wameenda kukagua mizinga...tumekuta mizinga 20 tu ndio imeingia.Wameikagua hakuna shida tunahisi labda kalenda yao imetupita
Habari mkuu, ulifanikiwa ? Mrejesho ukoje ni mwezi wa nane sasaNimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa.
Niefikiria kuweka mizinga 200 ya kisasa ambayo kwa wastani nipate madumu ya lita 20 kama 150 kila ninapovuna.
Mizinga nitaiweka kwenye banda na nitaweka mtu wa kuishi huko shamba ili awe anaikagua na asali yangu nitauza Dar es Salaam au soko la nje kwa wastani wa TZS 200,000.
Mizinga nitaichona kwa elfu 20m kila mmoja kwa kuwa mbao zinapatikana kwa urahisi na fundi wangu hana bei kubwa.
Mizinga nitaiweka mwezi Desemba 2023 na mvuno wa kwanza utakuwa around June 2024. Soko la asali na nta halijawahi kuwa baya kama utazalisha Quality product.
Mkuutuwasiliane tu..yapo mengi hata wewe unaweza kununua
Boss kwa makadirio ya kawaida, kuzalisha makundi 100 ya nyuki kwa teknolojia yenu itanihitaji niwe na kiasi gani cha fedha?.Nyuki wakiwa wengi kutokana na kuwepo wingi wa Chakula chao utengeneza kundi jingine na kutafuta sehemu ingine na kuanza kundi jipya! Inaonekana maeneo jirani na ulipoweka mizinga kulikuwa na hayo 20 makundi ... Nyuki uwa na Scouts wanaotafuta maeneo bora ya kukaa so wakaona hiyo 20 mizinga na kuamia. Wakati wa kiangazi ni Nadra makundi kuongezeka na pia upatikanaji wa Chakula chao pia kunaweza Changia Nyuki kutozalisha makundi mapya.... hapo Technology hutumika na kuzalisha idadi yoyote ile ya Makundi ya Nyuki( kwa kuanza kwanza kuzalisha Malkia wao) ulaya na Kwengineko Kuna makampuni kazi yao ni kuzalisha Makundi ya nyuki na kuuza. Karibu tuongee tuje tukuzalsihie makundi ya Nyuki idadi utakayo! BEI MAELEWANO😁
Kundi moja + Malkia ni 50,000 . Ambapo baada ya hapo utawingiza kwenye mzinga na Malkia ataanza taga mayai, na kuanza kuzaliwa nyuki ndani ya mzinga na workers wataanza zalisha asali na mzinga kuanza jaa Nyuki na Asali.Boss kwa makadirio ya kawaida, kuzalisha makundi 100 ya nyuki kwa teknolojia yenu itanihitaji niwe na kiasi gani cha fedha?.