Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ipi?Kisheria ndoa lazima iwe na sherehe.Ingawa sheria ya ndoa haijasema sherehe iwe vipi.Kwa hiyo fanyeni sherehe hata ya watu kumi tu haina tatizo.
[emoji106]Sio mbaya
Baraka za Mungu zinatosha
Kila la kheri
Wanaume wengi hawapendi mbwembwe na sherehe, tatizo lipo kwa upande wa pili.Mimi nafunga ndoa mwezi huu isee, nilikuwa nataka kufanya hii style nimemwambia wife Mimi nataka ndoa tu kanisani then tusepe zetu, ila yeye anataka sherehe nimemwambia sherehe atafanya yeye huko ukumbini Mimi kipindi hiko Niko geto, akimaliza sherehe anitafute, sipendagi usumbufu isee
Inawezekana mkuu, Mimi nikikumbuka yakwangu mbaka nacheka.
Nilishtukizatuu watu wakashangaa ninafungandoa wakaja kanisani ilenatokatu naingia kwenye kimeochangu na wife naona watu rundo wananipigia vigelegele na magari yananifuata sijui ilikuwaje wengine nikawakuta home dah nilishangaasana.
Walinilaumu sana, wakajichangisha michango ya gafla waka nunua gambe sherehe ikawa hapohapo nyumbani hadi saa saba usiku maana kadiri muda ulivyokuwa unakwenda ndio walikuwa wakipigiana cm na kuongezeka.
Kwakweli sikuamini.
Mimi nimchangiaji mzuri wa harusi za wenzangu lakini yangu sikutaka kusumbua mtu nikaamua kufanya kimyakimya.
Hiyo nzuri sana mnaenda kanisani asubuhi mnamaliza kufunga majukumu mengine yanaendelea.
Aisee ulijuaje maana hata mimi pia huwa sipendi complications maishani.Ikibidi hata nisichangishe watu kabisa, Ila nahisi bibie lazma agome wanawake hawa wana kasumba ya kutambiana.Wanaume wengi hawapendi mambo ya sherehe sometimes hawa dada zetu ndio wanaforce sana.
Hii hela angeweka njombe kwenye miti mpaka leo angekuwa ana hela ya kupush Lexus Land Cruiser mang'ana tu! Na nyumba kadhaa mjini hapoKaka angu alifanya sherehe ya harusi yake kwa gharama ya milioni 50...mpaka Leo anajuta!
Mkuu, nilisimamia harusi ya kijana mmoja anasoma UDM ilikuwa simple sana, haikuwa na michango wala nini, kijana baada ya kutoka kanisani, hafla ilifanyika uwanja wa maonyesho wa mal Nyerere tena nje siyo ukumbini, watu walidhani ni kikao cha harusi baada ya kujua ni sherehe ya harusi walisogea kuona maana hawakuamini. Nilimpongeza sana kijana yule kwa kumuambia watu tunasoma kujikomboa kifikra na siyo kufanya mumbo kwa kukariri, tunakuwa watumwa wa mawazo ya watu. Tukatae.Mkuu mbona fresh tu...Kama mambo unaona sio mazuri kipesa wewe nenda kale kiapo kanisani inatosha tu.. Sherehe ni Ziada
Kisheria ndoa lazima iwe na sherehe.Ingawa sheria ya ndoa haijasema sherehe iwe vipi.Kwa hiyo fanyeni sherehe hata ya watu kumi tu haina tatizo.
Wenyewe wanakwambia lile tukio linatokea once in life so lazima washerekee.Aisee ulijuaje maana hata mimi pia huwa sipendi complications maishani.Ikibidi hata nisichangishe watu kabisa, Ila nahisi bibie lazma agome wanawake hawa wana kasumba ya kutambiana.
Hapa hesabu video & photoshoot kali, ukumbi mkali, gari ya kifahari ya kutubeba on the event havikwepeki aisee.
Ofcourse ni sahihi kufanya sherehe but wasting millions in a couple hours is the issue. Mnakula na kunywa 25-100 millions, Seriously???Wenyewe wanakwambia lile tukio linatokea once in life so lazima washerekee.