Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Habari wanajamvi,
Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week.
Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa mwingi .Huku nilipo mazingira sio rafiki sasa hata ukisema ufungue huna wa kumuuzia. Ninachoomba ni kujua mtaji wake na nanunua nini na nini na gharama za hivyo vifaa hadi namkabidhi kijana.
Kingne kwenye suala la malipo namna ya kunilipa yaani kwa siku atoe kiasi gani make najua humu wapo wenye project kama hizi na kila siku wanaletewa hisabu na mtaji unabaki.Naomba ushirikiano wenu jamani make sina hata kakiuchumi kuniingizia hata shilingi .Nitashukuru kwa mchango wenu.