Nataka kufungua biashara ya kuuza chips Dar es Salaam

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,042
Reaction score
2,005
Habari wanajamvi,

Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week.

Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa mwingi .Huku nilipo mazingira sio rafiki sasa hata ukisema ufungue huna wa kumuuzia. Ninachoomba ni kujua mtaji wake na nanunua nini na nini na gharama za hivyo vifaa hadi namkabidhi kijana.

Kingne kwenye suala la malipo namna ya kunilipa yaani kwa siku atoe kiasi gani make najua humu wapo wenye project kama hizi na kila siku wanaletewa hisabu na mtaji unabaki.Naomba ushirikiano wenu jamani make sina hata kakiuchumi kuniingizia hata shilingi .Nitashukuru kwa mchango wenu.
 
Habari wanajamvi,niende kwenye mada moja kwa moja.Nataka kufungua banda la chips hapo Dar ,mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week.Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa mwingi .Huku nilipo mazingira sio rafiki sasa hata ukisema ufungue huna wa kumuuzia.Ninachoomba ni kujua mtaji wake na nanunua nini na nini na gharama za hivyo vifaa hadi namkabidhi kijana.Kingne kwenye suala la malipo namna ya kunilipa yaani kwa siku atoe kiasi gani make najua humu wapo wenye project kama hizi na kila siku wanaletewa hisabu na mtaji unabaki.Naomba ushirikiano wenu jamani make sina hata kakiuchumi kuniingizia hata shilingi .Nitashukuru kwa mchango wenu.
Biashara uisimamie mwenyewe unless jiandae kutupa pesa
 
tafuta sehemu ya wanafunzi wa chuo hapo utakuwa ume target.

Biashara ulianza simamia mwenyewe kabla hujaweka mtu, ujue hasi na chanya za biashara.
 
Habari wanajamvi,niende kwenye mada moja kwa moja.Nataka kufungua banda la chips hapo Dar ,mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week.Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa mwingi .Huku nilipo mazingira sio rafiki sasa hata ukisema ufungue huna wa kumuuzia.Ninachoomba ni kujua mtaji wake na nanunua nini na nini na gharama za hivyo vifaa hadi namkabidhi kijana.Kingne kwenye suala la malipo namna ya kunilipa yaani kwa siku atoe kiasi gani make najua humu wapo wenye project kama hizi na kila siku wanaletewa hisabu na mtaji unabaki.Naomba ushirikiano wenu jamani make sina hata kakiuchumi kuniingizia hata shilingi .Nitashukuru kwa mchango wenu.
Inalipa sana hiyo biashara. Mimi nilianza na viazi viwili nikawa nampa kijana anichomee
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Ukae Tanga chips ziuzwe Dar…..pesa utumiwe Tanga….halafu umeshasema Dar ‘ mzunguko’ wa watu mkubwa.. watakuzungusha mgoshi. Kuwa serious kidogo
Ndio najua ni risk biashara kuwa mbali lakini huyu kijana namuamini hasa pale nitakapokuwa nimekubaliana nae kiwango cha kutoa cha kila siku.
 
Hiki unachotaka kukifanya hakipo, hiyo hela kama vipi inywe tu.....

Hata ukimpa mzazi wako tu akufanyie hivo hawezi nini kijana unaemuamini
 
Hiyo hela kampe Mr. Kuku kama umeshaamua kuitoa sadaka kwa namna hiyo.
 
Ukae Tanga chips ziuzwe Dar…..pesa utumiwe Tanga….halafu umeshasema Dar ‘ mzunguko’ wa watu mkubwa.. watakuzungusha mgoshi. Kuwa serious kidogo
Kakuelewa mshauri na kuhusu gharam kama itakuwa ndani ya uwezo wako
 
Biashara ya chips tafuta sehemu yenye njia/barabara panda utapiga hela mpaka ukimbie ila usimamie mwenyewe
 
Ukisoma comment nyingi mpaka hapa,unagundua kua wabongo wengi hawaaminiani na pengine huenda ikawa wengi wao sio waaminifu.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Ndio najua ni risk biashara kuwa mbali lakini huyu kijana namuamini hasa pale nitakapokuwa nimekubaliana nae kiwango cha kutoa cha kila siku.
Hiki unachotaka kukifanya hakipo, hiyo hela kama vipi inywe tu.....

Hata ukimpa mzazi wako tu akufanyie hivo hawezi nini kijana unaemuamini
Niaminini mimi, itamlipa anachokitafuta. Msivunje moyo.
Waliodanda treni kwa mbele ndiyo wanaelewa mjini shule.
 
Back
Top Bottom