MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Usifungulie Ujiji centre, itadoda kwa sababu ya walaji kuhofia macho ya watu.Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Kuna sehemu wanapaita manguruweni ndio headquarterNazareti haya madude yapo mengi
Wewe unapafahamu vizuri.Katubuka maguruweni,kafungue goli mitaa ya ujiji njia ya livingstone.
Wewe unapafahamu vizuri.
Niko kaghashe road hapa nimepoašKuanzia kibirizi,maweni,mwanga,burega,buzebazeba. Soon nitarudi tena kigoma mjini
Unatafuta kutupiwa jini siyo bure. Nenda Katubuka au hapo mjini nyuma ya NBC Bank utapata kitimotoNiko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
fungua tukusomee al badr