Nataka kufungua goli la Kitimoto Ujiji Kigoma

2009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.

Kitimoto ni jamii ya nguruwe pori na nguruwe pori ni mnyama anayaliwa sana watu wengi wa afrika kabla dini za waarabu kuja kuwapotosha eti haramu wft.
 
2009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.
Mtwara kuna makonde tribe, makonde hawana dini, chilumbile nungu chakumemena alaa.
 
Qur'an 2:120
Hawatokua radhi wayahudi na wakiristo mpaka ufuate Mila zao

Kwani mkila peke yenu hawi mtamu mpaka mjitie ujinga kwamba waislam nao wanakula Sana!?
 
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Dah Aisee, ,,,, Nina kuswalika kidogo, Hivi kwanini Nguruwe anaitwa "My"???
Wengine utasikia wanasema "Twende tukale "My wetu" 🐷🐷
 
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Sasa hapo Ulipo Ujiji utapoteza mtaji wako,, Kwa Nini usiende hata Mwandiga au Mlole au Kibirizi. Usifungue goli karibu na Mitaa ya Katubuka)Manguruweni pia utaangukia pua. Tafuta mtaalam wa Jiko pia kwenye hiyo kitu utapiga Hela Kwa kweli
 
Kafungue Unguja au Pemba, utanishukuru. Ila kumbuka kuwa Biblia hairuhusu kula nguruwe.

Qur an imeruhusu kula kama utakuwa na njaa sana. Sema FaizaFoxy anatumia vibaya mwanya huu.
Umemshauri vizuri sana kwenye mahoteli makubwa zinalika na zina bei nzuri sana kuna kipindi nilikaribia kupata dili la kuchinja na kupeleka unguja akatokea nuksi mmoja akaharibu dili zima ila kalikua kamchongo ka kwenda hata usipokua na kazi nyingine unaishi vyema tu. Imagine 400kg kwa wiki ukikosa sana 300kg.
 
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Hapo utapata hasara kubwa mkuu watu wengi hapo ni waisilamu,nenda katubuka pale manguruweni utauza sana tu.
 
Cheki na Baruan Muhuza yule wa Azam akupe muongozo..ndio kwao huko.
 
Mtwara kuna makonde tribe, makonde hawana dini, chilumbile nungu chakumemena alaa.
Brother heshima yako ni kubwa mno humu jamii forum sitegemei nikuvunjie heshima niliyonayo juu yako..... wamakonde waliopo mkoa wa mtwara asilimia 90 ni waislamu sasa watakulaje kitimoto?
 
Mkiwa mbele za watu huwa mnajifanya watakatifu sana. Nishakula nao nguruwe waislam kabisa, siyo wale wa kuslimu. Wale waliozaliwa kwenye uislamu. Hao wamakonde wa kiislamu watashindwa kula nguruwe? Mnaona kula nguruwe ni dhambi kubwa sana?
Huko umakondeni ambapo kuna waislamu wengi hakuna wezi? watu hawafanyi uzinzi mpaka siku ya ndoa? Watu hawaoneani wivu? Ni wakarimu kwa wageni kiasi kwamba ukiwa una shida wanakusaidia? Ukidondosha simu au hela basi wanakutafuta au wanatangaza kwa mtu aliyedondosha ili wakupe? huko hawanywi pombe, wala hakuna bar? hakuna wanawake wanaojiuza?
 
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona zaidi ya stori za watu... halafu hizo zote ulizozitaja ni dhambi na kila siku zinakatazwa na hukumu zake zipo
 
Kama hivyo vyote havipo basi nitaenda kuishi Mtwara. Ni mji ambao hakuna dhambi
 
Qur'an 2:120
Hawatokua radhi wayahudi na wakiristo mpaka ufuate Mila zao

Kwani mkila peke yenu hawi mtamu mpaka mjitie ujinga kwamba waislam nao wanakula Sana!?
Nishakula nguruwe na waislam wengi sana. Km wewe hauli wenzako wanakula
Nipo zangu tunakula nguruwe na athumani bar na ugali. Said akataa kula nguruwe kwakwe haramu, akaagiza bia zake 2 na sigara, anavuta mdogo mdogo. Baadae tukamaliza tukaondoka zetu.
Hapo siku mbili nyuma ametoka kulala na mwanamke ambaye siyo wake. Haya maisha nikabaki nacheka tu. Wala siyo story ya kutunga, tulikuwa mahali tunafanya kazi.
 
Screenshot_20230721-112841-1.jpg

Fuga wa aina hii.
 
Back
Top Bottom