jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
2009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.
Mtwara kuna makonde tribe, makonde hawana dini, chilumbile nungu chakumemena alaa.2009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.
umesahau Katubuka, Kawawa Stadium na Kwa selemala hahaaa hadi Bangwe loohKuanzia kibirizi,maweni,mwanga,burega,buzebazeba. Soon nitarudi tena kigoma mjini
Napakumbuka,kitambo sanaKuna sehemu wanapaita manguruweni ndio headquarter
Qur'an 2:1202009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.
Dah Aisee, ,,,, Nina kuswalika kidogo, Hivi kwanini Nguruwe anaitwa "My"???Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Sasa hapo Ulipo Ujiji utapoteza mtaji wako,, Kwa Nini usiende hata Mwandiga au Mlole au Kibirizi. Usifungue goli karibu na Mitaa ya Katubuka)Manguruweni pia utaangukia pua. Tafuta mtaalam wa Jiko pia kwenye hiyo kitu utapiga Hela Kwa kweliNiko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Zanzibar mbona kitimoto kinauzwa sema bei iko juuUsifungulie Ujiji centre, itadoda kwa sababu ya walaji kuhofia macho ya watu.
Fungua mitaa mingine huko kustahi wateja kwa kuwapa privacy
Mwezi wa Ramadhani biashara za kitimoto mfano Dar huwa zinadodaWatakusapoti maana walaji wengi ni waislamu wanaita wakati aka Dp world au mfungo
Umemshauri vizuri sana kwenye mahoteli makubwa zinalika na zina bei nzuri sana kuna kipindi nilikaribia kupata dili la kuchinja na kupeleka unguja akatokea nuksi mmoja akaharibu dili zima ila kalikua kamchongo ka kwenda hata usipokua na kazi nyingine unaishi vyema tu. Imagine 400kg kwa wiki ukikosa sana 300kg.Kafungue Unguja au Pemba, utanishukuru. Ila kumbuka kuwa Biblia hairuhusu kula nguruwe.
Qur an imeruhusu kula kama utakuwa na njaa sana. Sema FaizaFoxy anatumia vibaya mwanya huu.
Hapo utapata hasara kubwa mkuu watu wengi hapo ni waisilamu,nenda katubuka pale manguruweni utauza sana tu.Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Brother heshima yako ni kubwa mno humu jamii forum sitegemei nikuvunjie heshima niliyonayo juu yako..... wamakonde waliopo mkoa wa mtwara asilimia 90 ni waislamu sasa watakulaje kitimoto?Mtwara kuna makonde tribe, makonde hawana dini, chilumbile nungu chakumemena alaa.
Mkiwa mbele za watu huwa mnajifanya watakatifu sana. Nishakula nao nguruwe waislam kabisa, siyo wale wa kuslimu. Wale waliozaliwa kwenye uislamu. Hao wamakonde wa kiislamu watashindwa kula nguruwe? Mnaona kula nguruwe ni dhambi kubwa sana?Brother heshima yako ni kubwa mno humu jamii forum sitegemei nikuvunjie heshima niliyonayo juu yako..... wamakonde waliopo mkoa wa mtwara asilimia 90 ni waislamu sasa watakulaje kitimoto?
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona zaidi ya stori za watu... halafu hizo zote ulizozitaja ni dhambi na kila siku zinakatazwa na hukumu zake zipoMkiwa mbele za watu huwa mnajifanya watakatifu sana. Nishakula nao nguruwe waislam kabisa, siyo wale wa kuslimu. Wale waliozaliwa kwenye uislamu. Hao wamakonde wa kiislamu watashindwa kula nguruwe? Mnaona kula nguruwe ni dhambi kubwa sana?
Huko umakondeni ambapo kuna waislamu wengi hakuna wezi? watu hawafanyi uzinzi mpaka siku ya ndoa? Watu hawaoneani wivu? Ni wakarimu kwa wageni kiasi kwamba ukiwa una shida wanakusaidia? Ukidondosha simu au hela basi wanakutafuta au wanatangaza kwa mtu aliyedondosha ili wakupe? huko hawanywi pombe, wala hakuna bar? hakuna wanawake wanaojiuza?
Kama hivyo vyote havipo basi nitaenda kuishi Mtwara. Ni mji ambao hakuna dhambiSiwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona zaidi ya stori za watu... halafu hizo zote ulizozitaja ni dhambi na kila siku zinakatazwa na hukumu zake zipo
Nishakula nguruwe na waislam wengi sana. Km wewe hauli wenzako wanakulaQur'an 2:120
Hawatokua radhi wayahudi na wakiristo mpaka ufuate Mila zao
Kwani mkila peke yenu hawi mtamu mpaka mjitie ujinga kwamba waislam nao wanakula Sana!?