Nataka kufungua kiwanda kidogo cha pombe kali. Utaratibu ukoje?

Nataka kufungua kiwanda kidogo cha pombe kali. Utaratibu ukoje?

Mtaji tunaongea tuu office yangu ipo BOMA ng'ombe Kilimanjaro region, mashine utatengenezewa kutokana na uwezo wako,Kila mbuzi atakula usawa wa kamba yake.mkono unapofika njoo tukuzaidie.
 
Back
Top Bottom