Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigaji wengi jamii forums mkuuHapa ndo waTanzania tunapokosea, kama wewe unajifanyia marketing kwann usiweke kila kitu hapa mpaka inbox? Tupo wengi tunaofatilia na unaweza kubahatisha mmoja wetu kuliko kujifungia inbox.
Ngoja nikupe mfano wangu; kuna mtu aliuliza kuhusu kuanzisha bakery nadhan mwaka 2014 au 2015 ningemwambia anifate inbox watu wengi wasingejua nini nime-inbox nae, kwakua niliweka kila kitu wazi mpaka leo hii 2020 miaka karibu 5 imepita bado napokea simu za watu mbalimbali wanaotaka ushauri zaidi. Wapo wengi nimewasaidia na wanafanya vizuri na wananishukuru japo hawanijui na wala siwajui.
UKITAKA UTUPATE WENGI FUNGUKA KILA KITU HADHARANI MKUU
You too will burn in hellWaislam mnayatafutaga wenyewe kama mada haikuhusu si ukaushe tu sio kila mada hujiusishe, usilete mambo ya wafia dini
Hili tatizo hata mimi nimekutana nalo, sisi watz ujanja ujanja mwingi.Hapa ndo waTanzania tunapokosea, kama wewe unajifanyia marketing kwann usiweke kila kitu hapa mpaka inbox? Tupo wengi tunaofatilia na unaweza kubahatisha mmoja wetu kuliko kujifungia inbox.
Ngoja nikupe mfano wangu; kuna mtu aliuliza kuhusu kuanzisha bakery nadhan mwaka 2014 au 2015 ningemwambia anifate inbox watu wengi wasingejua nini nime-inbox nae, kwakua niliweka kila kitu wazi mpaka leo hii 2020 miaka karibu 5 imepita bado napokea simu za watu mbalimbali wanaotaka ushauri zaidi. Wapo wengi nimewasaidia na wanafanya vizuri na wananishukuru japo hawanijui na wala siwajui.
UKITAKA UTUPATE WENGI FUNGUKA KILA KITU HADHARANI MKUU
Mkuu ulifanikiwa hii kitu?Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie.
Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua gharama za chini kabisa, sihitaji legal procedures sana maana nazifahamu nachohitaji ni costs za kufinance project na manufacturing process.
Mkuu vipi ulifanikiwaKama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie.
Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua gharama za chini kabisa, sihitaji legal procedures sana maana nazifahamu nachohitaji ni costs za kufinance project na manufacturing process.
Nifundishe kupika gongo mkuuNaogopa legal punishments lakini hadi kuipika najua
Siku hizi Ni akili tu.Nalijua hili lakini akiwa smart na ana bahati atapita.
Kumaanisha kwamba hata kwa mtaji mdogo huwezi anza?Hapana aisee iyo ni biashara ya pesa ndefu kidogo na big fish
Aliwahi kukataa kuwa kawaachia big fishes ye imemshinda.Muanzisha Uzi ulifanikiwa nataka uzoefu wao nami nifungue kiwanda kidogo nipo najenga jengo dogo la kiwanda kwa ajili ya uzalishaji kwanza kwa maelekezo ya Sido maeneo ya Mwandege, vipi ulifanikiwa kufungua chako?
Mimi naianza mwakani rasmiAliwahi kukataa kuwa kawaachia big fishes ye imemshinda.
Lakini hii kitu ya kuzalisha spirit naifikiriagaaa, naishia kupanga tu kwa sasa
Usioneshe unauliza swali alafu unajifanya mjuaji.Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie.
Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua gharama za chini kabisa, sihitaji legal procedures sana maana nazifahamu nachohitaji ni costs za kufinance project na manufacturing process.
Mkuu ulifanikiwaMimi naianza mwakani rasmi
Kuna gari imepita hapa imeandikwaHapa ndo waTanzania tunapokosea, kama wewe unajifanyia marketing kwann usiweke kila kitu hapa mpaka inbox? Tupo wengi tunaofatilia na unaweza kubahatisha mmoja wetu kuliko kujifungia inbox.
Ngoja nikupe mfano wangu; kuna mtu aliuliza kuhusu kuanzisha bakery nadhan mwaka 2014 au 2015 ningemwambia anifate inbox watu wengi wasingejua nini nime-inbox nae, kwakua niliweka kila kitu wazi mpaka leo hii 2020 miaka karibu 5 imepita bado napokea simu za watu mbalimbali wanaotaka ushauri zaidi. Wapo wengi nimewasaidia na wanafanya vizuri na wananishukuru japo hawanijui na wala siwajui.
UKITAKA UTUPATE WENGI FUNGUKA KILA KITU HADHARANI MKUU
Kuna wakati nlikuwa nafanya shughuli fulani. Nilikuwa naandika na kutoa ushauri bure. Jambo hili lilifanya watu waniamini aisee nilikuwa napata kazi si kiddogo. Watu waliamini ninajua sana.Kuna gari imepita hapa imeandikwa
if your good on something never do it for free
Upande wako unatoa ushaur ye anahitaj ujuz wake ulipiwe sio kosa.
Usijali Mimi ni mtaalam wa mashine za kuchuja maji filling na blending za pombe Kali Kwa hiyo usijali nitakupa mashine na kukusaidia kupata vibali vyote contact namba 0673315821.Kumaanisha kwamba hata kwa mtaji mdogo huwezi anza?
Hao big fish figisu zao ni zipi?
#MaendeleoHayanaChama