Nataka kuhama bima nihamie wapi?

Nataka kuhama bima nihamie wapi?

Heritage Insurance Company ni jibu lako nitafute nikuhudumie.
0764390594.
20190921_000028.jpeg
 
Pole sana mkuu Hili Tatizo linawapata sana pale mteja amekata bima kupitia kampuni moja kwa moja au kwa intermidiary asiekuwa na ujuzi kufatilia madai ya mteja, kushindwa kukufafanulia mkataba wa bima au kushindwa kufanya analysis vizuri katika soko yaani ni kampuni ipi inafanya vizuri katika kulipa kwa kuangalia claim handling expirience za kampuni za bima. kwa ushauri wangu kuna kampuni nyingi za bima tanzania zinazofanya general insurance ila ni chache zipo vizuri katika claim handling kuna kampuni kama britam na heritage zipo vizuri sana katika ulipaji. kwa ushauri zaidi kwa maswala ya Bima zote nipigie 0765827355 Fahad Kimaro
Britam na heritage mbona Kama hawana sofa nzuri.
 
Je, ukitaka ku upgrade au downgrade bima ya gari vipi inawezekana na ni kwa utaratibu gani Wajuzi wa hizi mambo?
 
Back
Top Bottom