Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NICHECK DMNamaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Britam na heritage mbona Kama hawana sofa nzuri.Pole sana mkuu Hili Tatizo linawapata sana pale mteja amekata bima kupitia kampuni moja kwa moja au kwa intermidiary asiekuwa na ujuzi kufatilia madai ya mteja, kushindwa kukufafanulia mkataba wa bima au kushindwa kufanya analysis vizuri katika soko yaani ni kampuni ipi inafanya vizuri katika kulipa kwa kuangalia claim handling expirience za kampuni za bima. kwa ushauri wangu kuna kampuni nyingi za bima tanzania zinazofanya general insurance ila ni chache zipo vizuri katika claim handling kuna kampuni kama britam na heritage zipo vizuri sana katika ulipaji. kwa ushauri zaidi kwa maswala ya Bima zote nipigie 0765827355 Fahad Kimaro
Bado sijapata MkuuUmepata jibu?