Hance Chance Balance
Member
- Aug 17, 2020
- 10
- 8
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha.
Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu
Kwa ambaye anapafahamu vizuri Bariadi, je biashara ya nafaka inalipa huko? Je mzunguko wa pesa unaeleweka?
Nimewasilisha uzi huu kwenu wadau Asante.