HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5 hadi 8, sasa kwa watu mliopo huko au waliowahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine.
Ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi.