Una uhakika wenyeji hawatamuona ni fursa kweli😁Aende kama binadamu kaka ila kumejaa sana mifugo pande hizoo watu wanafuga sana mbuzi
Naona umemchagulia maeneo jirani na mito, au jamaa ni mvuvi😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika wenyeji hawatamuona ni fursa kweli😁Aende kama binadamu kaka ila kumejaa sana mifugo pande hizoo watu wanafuga sana mbuzi
😁😁🤣🤣Una uhakika wenyeji hawatamuona ni fursa kweli😁
Naona umemchagulia maeneo jirani na mito, au jamaa ni mvuvi😁
Visa ya marekani ni tabu kupataMarekani kuna opportunity nyingi sana na bei ya nyumba ni affordable kuliko canada
Vipi na province ya Manitoba Iko fresh?Aende kama binadamu kaka ila kumejaa sana mifugo pande hizoo watu wanafuga sana mbuzi
Hapo sijawahi kuishi MkuuVipi na province ya Manitoba Iko fresh?
Mimi nilipofika huko nilienda kituo cha mabasi ya mikoani nikafanikiwa kuishi hapo huku nikipigadebe kwa zaidi ya miaka mitatu, uzuri milo zipo sehemu zinasaidia wasiokuwa na pesa.Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5 hadi 8, sasa kwa watu mliopo huko au waliowahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine.
Ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi.
Ikoje hii mkuu naomba ufafanuziHamia Ukraine mkuu ama Palestine kule sahizi wanauza uraia ukipata n rahisi kwenda hata mbinguni nn canada
Mkumbushe kuwa wanazungumza kifaransa huko, ajipange na hilo pia.Kwa experience yangu mkuu kaishi Quebec na Saskatchewan patakufaaa sana ila ni vijijini huku Mkuu pamejaa sana mbuzi na ng'ombe watu wachache sana ila panafaa kama unapenda cheapest
Mimi nilipofika huko nilienda kituo cha mabasi ya mikoani nikafanikiwa kuishi hapo huku nikipigadebe kwa zaidi ya miaka mitatu, uzuri milo zipo sehemu zinasaidia wasiokuwa na pesa.