HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Unaomba viza category ipi?Habari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5hadi 8 sasa kwa watu mliopo huko au walio wahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi
Hamia Ukraine mkuu ama Palestine kule sahizi wanauza uraia ukipata n rahisi kwenda hata mbinguni nn canadaHabari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5hadi 8 sasa kwa watu mliopo huko au walio wahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi
wasiliana na dr.mihogo (slaa) upate abcHabari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5hadi 8 sasa kwa watu mliopo huko au walio wahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi
Marekani kuna opportunity nyingi sana na bei ya nyumba ni affordable kuliko canadaHabari wanajukwaa.
Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada.
Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha.
Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa zinachelewa kutoka kuanzia miezi 5hadi 8 sasa kwa watu mliopo huko au walio wahi kufika huko naombeni mnisaidia ni mji upi hauna gharama sana za kimaisha na mambo mengine ushauri wenu ni muhimu sana maana hadi sasa sijachagua mji gani nikaishi
Nakusalimu Tajiri mbeba box..Mimi kama mbeba box mzoefu sikushauri kubeba familia yako yote kwa mara ya kwanza,
Nenda peke yako ukacheki situation kwanza,
Mambo yakiwa sawa ndio unahamisha familia yako,
All the best Bro.
Kwa hiyo kama pamejaa mbuzi na ng'ombe na watu ni wachache π unamaanisha na yeye aende kama mbuzi, ng'ombe au part ya hao watu wachache π nauliza tu chiefKwa experience yangu mkuu kaishi Quebec na Saskatchewan patakufaaa sana ila ni vijijini huku Mkuu pamejaa sana mbuzi na ng'ombe watu wachache sana ila panafaa kama unapenda cheapest
Aende kama binadamu kaka ila kumejaa sana mifugo pande hizoo watu wanafuga sana mbuziKwa hiyo kama pamejaa mbuz na ng'ombe nai watu ni wachache π unamaanisha na heye aende kama mbuzi, ng'ombe au part ya hao watu wachache π nauliza tu chief