Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman naomben ushaur i real lv BVM BT NIMECHAGUA HUMAN AND CONSUMER STUDIES ILI IWE NJIA YA KUINGIA SUA NA KUBADILISHA FACULTY,JKT NDO IMEFANYA MAMBO YANGU YAENDE KOMBO
kwann watashangaa kaka?
nimechaguliwa Bs in human and consumer studies na ninataka kuhamia VETENARY MEDICINE Naomba ushaur nifanye nn?
jaman naomben ushaur i real lv BVM BT NIMECHAGUA HUMAN AND CONSUMER STUDIES ILI IWE NJIA YA KUINGIA SUA NA KUBADILISHA FACULTY,JKT NDO IMEFANYA MAMBO YANGU YAENDE KOMBO
kwann watashangaa kaka?
Mziki wake ni nouma,yaan supp kibao,bt ukikaza tz pocibo coz kuna watu wanamalza bila sup
kwan kaka cwez kuhamia coz hyo hata kama imejaa?
Huku dogo tumejaa tuko zaidi ya 70!
Kama kweli ulikuwa unaipenda kama unavyodai kwa nini hukuiweka chaguo la kwanza? Kama ilikuwa chaguo lako la kwanza basi jamaa wameona hutaiweza hiyo kozi ndo maana wakakupanga huko unakoenda! By the way dogo hujipendi eeeeh? Huku tuachie sisi tuliokubali kujitoa mhanga, yaani kwa ufupi tumemua kujilipua wenyewe!! Lakini hata hivyo hata kule kwingine (eXtension, Agribus, n.k.) mbona nako wana-supp? Jamani tusitishane ati!
Huyu dogo mimi ningemkaribisha lakini kwa vile tumejaa acha sisi tuende tu!!
Supp za kumwaga zinakuita mpaka kufikia kuahirisha mwaka........kemea hilo pepo umalize zako chuo kwa amani na usalama kwa ujumla
nauhakika lazima upate na ni rahisi we nenda administration yao waulize sababu hiyo kozi huwa wanaomba wachache so watafurahi wakiona mnataka kuongezeka ila watashangaa eti unahamia BVM
Baki hukohuko bvm haina soko kwa sasa
point za kuhamia ninazo kwan hawawez kunichukua nikitaka kuhamia?