Nataka kuhamia faculty ya vetenary medicine naomba process za kufanya ili niweze kuhama

Ukienda na utoto wako huo wa "nikaixome, xana" uta disco semester ya kwanza tu. Nenda admissions office watakupa A B Cs za kufanya, ni vema ikawa ndani ya zile wiki mbili za kwanza wakati wa orientation.Kila la kheri masomoni.

poa kaka i ll do that ucjal,xema jkt
 
Baba V kuna vijana wengi humu jukwaani wanaleta utani,,sifa,utoto,uhuni nk:jaribu kuingia thread tofauti tofauti utagundua hako kamchezo kamekithiri,weka kambi japo hata siku2 uwape darasa ,sababu nahisi wanashusha hadi ya hili jukwaa

xawa kaka nimekudaka
 
Last edited by a moderator:

Wanakera sana. Sijui wao wanadhani ndo ujanja. Yaani foolish age inasumbua sana. ni sawa na wale wanaovalia suruali chini ya makalio wakidhani watu wanawaona wajanja kumbe wanaonekana mashoga. I hate this habit and I hope that one day it'll change for good.
 
Last edited by a moderator:
sasa kwa nini hukuchagua bvm moja kwa moja ? la pili hiyo kozi uliyochaguliwa mbona ipo mbali sana na bvm hivi kweli ulikua na interest? tatu kuhamia bvm inawezekana ndani ya week mbili za mwanzo lakini uhakikishe una vigezo maana nina wasi wasi labda vigezo vyako havikutosha kwa nini usingechagua bvm moja kwa moja? nne kwa ushauri tu bvm ni kozi ngumu kuliko hata md ukihamia hakikisha unapiga msuli mnooooo ni bora ufie library , laboratory au class... na pia ukiingia huko ni kudedicate maisha yako yote simple mistake ull be out , huwa wanaanza wanafunzi 70 wanagraduate 10... sikutishi ni angalizo tu ujue unachotaka kukifanya kabla ya kuingia isije ikawa unaipenda tu bvm lakini kupiga msuli mkali huwezi ... dats da reality WISH IS MINE LUCKY IS YOURS.... think twice
 
a

point kaka ninayo coz wao wanataka 2.5 na uwe umefaulv englsh na hesabu kwa o level yo kwan hvyo vgezo wanaweza kuvkataa? Kwa uwezo wa mwenyez mungu i hope nitaweza tu
 
sasa kwa nini hukuchagua bvm moja kwa moja ? la pili hiyo kozi uliyochaguliwa mbona ipo mbali sana na bvm hivi kweli ulikua na interest? tatu kuhamia bvm inawezekana ndani ya week mbili za mwanzo lakini uhakikishe una vigezo maana nina wasi wasi labda vigezo vyako havikutosha kwa nini usingechagua bvm moja kwa moja? nne kwa ushauri tu bvm ni kozi ngumu kuliko hata md ukihamia hakikisha unapiga msuli mnooooo ni bora ufie library , laboratory au class... na pia ukiingia huko ni kudedicate maisha yako yote simple mistake ull be out , huwa wanaanza wanafunzi 70 wanagraduate 10... sikutishi ni angalizo tu ujue unachotaka kukifanya kabla ya kuingia isije ikawa unaipenda tu bvm lakini kupiga msuli mkali huwezi ... dats da reality WISH IS MINE LUCKY IS YOURS.... think twice

duuuhh!!!

nimesikitika kwa kweli!!
 
sasa ina maana hii course yenyewe iko vipi mpka watu wafeli hivi???

basi kwa jinsi hio basi watu wake wangekuwa wanatafutwa kama dhahabu!!!!

kwan kaka nikikomaa cwez kutoka?
 
Mwenzetu yeye anasema English na hesabu inatosha!

cio kwamba englsh na hesab kwa advance acordn to facult of vet..in order for a student to b admited must posses atleast two prncple pass in bios and chemistry and must hav 4 crdts at o level;bios,kemia,englsh na hesab xo mie hv vgezo ninavyo xo wont they take me?
 
Kwa uandish huo,cjui kama hapo sua utasalimika!
 
Back
Top Bottom