Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Daaah!! Mdogo wangu we baki huko hukoo... BVM ni hataree zaidi ya hatareee.. Kama umechaguliwa hyo course basi endeleanayo 2..!! Usithubutu kuigusa... Mwaka jana kuna mtu kajinyonga so kua makini..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ndio kaka hayo yote nimeyafkria xana bt jkt ndo imenifunga kaka bt nitawah mapema nikitoka kwenye hk chombo
Daaah!! Mdogo wangu we baki huko hukoo... BVM ni hataree zaidi ya hatareee.. Kama umechaguliwa hyo course basi endeleanayo 2..!! Usithubutu kuigusa... Mwaka jana kuna mtu kajinyonga so kua makini..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ahaaa! Kumbe uko jkt sasa hivi? Mbona ulikuwa huweki bayana unabaki kulaumu jeshi tu? Mimi sidhani kama jeshi lilikuwa linalazimisha mtu kujaza kozi? Hapo tutawasingizia! Ila jaribu kuchambua mawazo uliyopewa humu ili ufikie maamuzi sahihi!
Wakati wenzio wanaichagua kama chaguo la kwanza wewe ulikuwa wapi? Acha kupiga mayowe!
Safi sana mkuu nlikua nakungojea uje huku!!!
Wasikutishie SUA kila kozi ni ngumu, inadepend na ulivyojipanga, hadi diploma ratiba yao ni kama ya Bsc unafanya mchezo na sua wewe
sana sana wana consider dvsn 1 na 2....
hawa madogo hawaijui vet... naona wanapiga soga tu... ngoja waje waone watu walivyoliwa vichwa pande hizi
Ni agricultural engineering na sio agriculture injiniaring.....nakushauri ubadili huu uandishi wako!! kama unajua hesabu(namaanisha pure mathematics na sio bam) na physics unakaribishwa. japo inategemea na utavukua umejipanga!! hamna linaloshindikana...vp kuhuxu agriculture injiniarng
Ni agricultural engineering na sio agriculture injiniaring.....nakushauri ubadili huu uandishi wako!! kama unajua hesabu(namaanisha pure mathematics na sio bam) na physics kiasi unakaribishwa. japo inategemea na utavukua umejipanga!! hamna linaloshindikana...vp kuhuxu agriculture injiniarng
Ni agricultural engineering na sio agriculture injiniaring.....nakushauri ubadili huu uandishi wako!! kama unajua hesabu(namaanisha pure mathematics na sio bam) na physics kiasi unakaribishwa. japo inategemea na utavukua umejipanga!! hamna linaloshindikana...
vp kuhuxu agriculture injiniarng
Nyie watu wa SUA acheni ubinafsi wa kishamba dogo anaomba ushauri mnamkatisha tamaa eti BVM ngum na sisi wa Civil engeneering tutasemajehakuna kigumu ktk kujidhatiti maana hata socialogy ni ngumu kwa wanaiona ngumu.dogo mm nakushauri nenda admission watakupa muongozo achana ha hivi vibabu vinavyoona unaenda kuziba riziki yao kutokana na ufinyu wa mawazo yao.mm nilijua ubinafs na ushamba wa watu wa SUA ni makazini tu kumbe tangu huko chuoni
iyo nenda kasome... kwa sababu haipendwii na watu wengi
naipenda xana kaka dats y nataka nikaixome,nachotaka kujua watanikubalia kuhamia
hyo coz?nijuze
Ukienda na utoto wako huo wa "nikaixome, xana" uta disco semester ya kwanza tu. Nenda admissions office watakupa A B Cs za kufanya, ni vema ikawa ndani ya zile wiki mbili za kwanza wakati wa orientation.Kila la kheri masomoni.