Ukienda na utoto wako huo wa "nikaixome, xana" uta disco semester ya kwanza tu. Nenda admissions office watakupa A B Cs za kufanya, ni vema ikawa ndani ya zile wiki mbili za kwanza wakati wa orientation.Kila la kheri masomoni.
Baba V kuna vijana wengi humu jukwaani wanaleta utani,,sifa,utoto,uhuni nk:jaribu kuingia thread tofauti tofauti utagundua hako kamchezo kamekithiri,weka kambi japo hata siku2 uwape darasa ,sababu nahisi wanashusha hadi ya hili jukwaa

poa kaka i ll do that ucjal,xema jkt
sasa kwa nini hukuchagua bvm moja kwa moja ? la pili hiyo kozi uliyochaguliwa mbona ipo mbali sana na bvm hivi kweli ulikua na interest? tatu kuhamia bvm inawezekana ndani ya week mbili za mwanzo lakini uhakikishe una vigezo maana nina wasi wasi labda vigezo vyako havikutosha kwa nini usingechagua bvm moja kwa moja? nne kwa ushauri tu bvm ni kozi ngumu kuliko hata md ukihamia hakikisha unapiga msuli mnooooo ni bora ufie library , laboratory au class... na pia ukiingia huko ni kudedicate maisha yako yote simple mistake ull be out , huwa wanaanza wanafunzi 70 wanagraduate 10... sikutishi ni angalizo tu ujue unachotaka kukifanya kabla ya kuingia isije ikawa unaipenda tu bvm lakini kupiga msuli mkali huwezi ... dats da reality WISH IS MINE LUCKY IS YOURS.... think twice
thanx kaka 4 ur advce,xo kuhama nijipange na hela au!
Baki hukohuko bvm haina soko kwa sasa
sasa kwa nini hukuchagua bvm moja kwa moja ? la pili hiyo kozi uliyochaguliwa mbona ipo mbali sana na bvm hivi kweli ulikua na interest? tatu kuhamia bvm inawezekana ndani ya week mbili za mwanzo lakini uhakikishe una vigezo maana nina wasi wasi labda vigezo vyako havikutosha kwa nini usingechagua bvm moja kwa moja? nne kwa ushauri tu bvm ni kozi ngumu kuliko hata md ukihamia hakikisha unapiga msuli mnooooo ni bora ufie library , laboratory au class... na pia ukiingia huko ni kudedicate maisha yako yote simple mistake ull be out , huwa wanaanza wanafunzi 70 wanagraduate 10... sikutishi ni angalizo tu ujue unachotaka kukifanya kabla ya kuingia isije ikawa unaipenda tu bvm lakini kupiga msuli mkali huwezi ... dats da reality WISH IS MINE LUCKY IS YOURS.... think twice
duuuhh!!!
nimesikitika kwa kweli!!
mpango mzma ni physics na bam aise
Umeona uongo huo mkuu? Yaani watu wengine nuksi kweli.
sasa ina maana hii course yenyewe iko vipi mpka watu wafeli hivi???
basi kwa jinsi hio basi watu wake wangekuwa wanatafutwa kama dhahabu!!!!
kwan kaka nikikomaa cwez kutoka?
Mwenzetu yeye anasema English na hesabu inatosha!
Umeona uongo huo mkuu? Yaani watu wengine nuksi kweli.
duuuhh!!!
nimesikitika kwa kweli!!
Kwa uandish huo,cjui kama hapo sua utasalimika!
mpango mzma ni physics na bam aise